Nandy : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
nimebadilisha ili kuongeza taarifa
s
Mstari 35:
}}
 
'''Nandy''' (amezaliwa [[9 Novemba]], [[1992]]) ni [[mwimbaji]] na [[mtunzi]] wa [[nyimbo]] kutoka nchini [[Tanzania]]. Nandy alitarajia kuolewa na Marehemu Luge wa Clouds FM. Mpaka sasa Nandy anamkumbuka sana kwani alishamutolea Mahali.
 
Mwaka wa 2017 alishinda tuzo ya [[All Africa Music Awards]] katika kundi la wasanii bora wa kike kutoka [[Afrika Mashariki]].<ref name="auto">{{Cite news|url=https://www.musicinafrica.net/magazine/afrima-2017-full-list-winners|title=AFRIMA 2017: Full list of winners|date=2017-11-13|work=Music In Africa|access-date=2018-05-12|language=en}}</ref><ref name="auto1">{{Cite news|url=http://www.azaniapost.com/entertainment/bongo-flava-ali-kiba-nandy-win-awards-at-afrima-in-nigeria-h9093.html|title=Bongo Flava: Ali Kiba, Nandy win awards at AFRIMA in Nigeria|last=Azaniapost|work=Azaniapost|access-date=2018-05-12|language=tr}}</ref>