Hifadhi ya Ruaha : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
Mstari 1:
[[picha:Purple On The River.jpg|right|thumb|400px|Hifadhi ya Ruaha]]
'''Hifadhi ya Ruaha''' iko katikati ya [[Tanzania]] umbali wa [[kilometa]] 128 [[magharibi]] yakwa [[Iringa (mji)|mji wa Iringa]]. Hifadhi hii ina ukubwa wa [[kilometa za mraba]] 1300.
 
*Hifadhi hii ni maarufu kwa [[wanyama]] aina ya [[kudu]] wakubwa na wadogoambaowadogo ambao hupatikana kwa wingi katika hifadhi. Ustawi wa hifadhi hii hutegemea kwa kiasi kukubwa
 
*Aina mbalimbali za samaki , viboko, na mamba hupatikana kwa wingi katika mto huu. Wanyama kama pofu na swala pala hunywa maji katika mto Ruaha ambao ni mawindo ya kudumu kwa wanyama wakali kama simba, chui, mbweha, fisi na mbwa mwitu.
 
*Aina mbalimbali za [[samaki ]], [[viboko]], na [[mamba]] hupatikana kwa wingi katika [[mto huuRuaha]]. Wanyama kama [[pofu]] na [[swala]] pala hunywa [[maji]] katika mto Ruaha ambao ni mawindo ya kudumu kwa wanyama wakali kama [[simba]], [[chui]], [[mbweha]], [[fisi]] na [[mbwa mwitu]].
 
[[picha:Oenanthe monticola 1.jpg|left|thumb|260px|Ndege katika Hifadhi ya Ruaha]]
 
*Hifadhi hii inao [[idadi]] kubwa ya [[tembo]] wanaokusanyika katika eneo moja kuliko eneo lingine lolote [[AfricaAfrika Mashariki]].
 
*Hifadhi hii ina sifa ya kuwa na wanyama na [[mimea]] karibu yote inayopatikana katika siniKusini na Mashariki mwa Africa[[Afrika]].
 
===Namna ya kufika===
Safari kwa kutumia [[Ndege (uanahewa)|ndege]] za kukodi kutoka [[Dar es Salaam]], [[Arusha]], [[Iringa]] na [[Mbeya]]. Pia kwa njia yakupitia barabara.
 
Wakati mzuri wa kutembelea hifadhi hii na kuangalia wanyama wakubwa ni wakati wa [[kiangazi]], kati ya mwezi Mei hadi Desemba. Kuangalia [[Ndege (mnyama)|ndege]] na [[maua]] wakati wa [[masika]] (Januari hadi Aprili)
Kuangalia ndege na mauawakati wa masika(Januari hadi Aprili)
 
==Tazama pia==
* [[Orodha ya milima ya Tanzania]]
* [[Mbuga za Taifa la Tanzania]]
* [[Orodha ya milima ya mkoa wa Iringa]]
 
==Picha==
Line 33 ⟶ 26:
Elephants At Sunset, Ruaha National Park.jpg|Tembo katika Hifadhi ya Ruaha
</gallery>
 
==Tazama pia==
* [[Orodha ya milima ya Tanzania]]
* [[Mbuga za Taifa la Tanzania]]
* [[Orodha ya milima ya mkoa wa Iringa]]
 
==Marejeo==
Line 43 ⟶ 41:
*[http://www.tanzania.go.tz Maliasili zaTanzania]
*[http://www.safariweb.com Safari za Tanzania]
{{mbegu-jio-iringa}}
 
[[Jamii:Hifadhi za Taifa za Tanzania]]