Guatemala : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
Mstari 52:
 
'''Guatemala''' (pia '''Gwatemala'''; kutoka [[lugha]] ya [[Kinahuatl]] '''Cuauhtēmallān''', "kwenye miti mingi") ni nchi ya [[Amerika ya Kati]]. Inapakana na [[Bahari]] ya [[Pasifiki]] upande wa [[Magharibi]], na [[Atlantiki]] upande wa [[Mashariki]], tena na nchi za [[Mexiko]], [[Belize]], [[Honduras]] na [[El Salvador]].
[[Picha:San andres xecul church 2009.JPG|thumb|upright=1.35300px|Kanisa la [[San Andrés Xecul]].]]
Eneo lake ni [[km2]] 108,890 ambamo wanaishi watu 15,806,675 ([[2014]]).