Harmonize : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
Removing Harmonize-1_tz.jpg, it has been deleted from Commons by Didym because: per c:Commons:Deletion requests/Files uploaded by Elia maingu.
No edit summary
Mstari 4:
Harmonize ana asili ya [[mkoa wa Mtwara]]. Alianza kuvuma kwa kibao chake cha kwanza cha "[[Aiyola]]" (2015), [[Bado]] (2016), [[Matatizo]] ([[2016]]) na baadaye akatoa nyimbo na msanii mwenzie kutoka lebo moja ya wcb ambaye ni [[Diamond Platnumz]].
 
Kwa ngwaru ni wimbo ambao ulibamba karibia maeneo yote ya [[Afrika ya Mashariki|Afrika mashariki]] na akatoa kibao kingine kiitwacho inama nyimbo ambayo aliimba na msanii kutoka nje ya tanzania ambaye anaitwa burna na dimond platnimz alikuwepo kwenye huo wimbo na sasa hivi anatamba na kibao kiitwacho never give up wimbo ambao unaelezea historia ya maisha yake kuanzia alivyo kuwa na maisha magumu sana. Harmonize anasimamiwa na [[Joel V. Joseph|Joel Joseph]] au kwa jina lingine Mr Puaz
 
==Maisha ya Awali==