Welisi : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
Replacing Flag_of_Wales_2.svg with File:Flag_of_Wales_(1959–present).svg (by CommonsDelinker because: File renamed: added usage dates).
No edit summary
Mstari 61:
|footnote2 = Also [[.eu]], as part of the [[European Union]]. [[ISO 3166-1]] is [[Great Britain|GB]], but [[.gb]] is unused.}}
 
[[Picha:Map of Wales.GIF|thumb|leftright|250px|Ramani ya Welisi]]
 
'''Welisi''' ([[Kiing.]]: '''Wales'''; ([[Kiwelisi]]: '''Cymru''' ({{Audio|Cymru.ogg|matamshi}} ''kimru'')) ni nchi ya [[Ulaya]] kwenye kisiwa cha [[Britania]] na sehemu ya [[Ufalme wa Muungano]].
 
Welisi ni [[rasi]] kubwa inayoingia katika sehemu ya [[Bahari Atlantiki]] inayotenganisha Britania na [[Eire]] (Ireland). Eneo lake lote lina km<sup>²</sup> 20,735. Inapakana na [[nchi ya Uingereza|Uingereza]] upande wa mashariki. Pande zingine ni pwani.
Inapakana na [[nchi ya Uingereza|Uingereza]] upande wa Mashariki. Pande zingine ziko pwani. Mji mkuu ni [[Cardiff]] (Kiwelisi: ''Caerdydd'').
 
Mji mkuu ni [[Cardiff]] (Kiwelisi: ''Caerdydd'').
Idadi ya wakazi ni karibu milioni tatu. Lugha asilia ni [[Kiwelisi]] ambacho ni kimoja kati ya lugha za Kikelti. Leo hii kuna bado asilimia 20% za wakazi wanaotumia Kiwelisi lakini wengine wamezoea [[Kiingereza]].
 
Idadi ya wakazi ni karibu milioni tatu. Lugha asilia ni [[Kiwelisi]] ambacho ni kimoja kati ya [[lugha za Kikelti]]. Leo hii kuna bado asilimia 20% za wakazi wanaotumia Kiwelisi lakini wengine wamezoea [[Kiingereza]]. Wasemaji wa Kiwelisi wako hasa katika kaskazini na kwenye sehemu ya milima ambako kuna maeneo ambako idadi kubwa ya watu huongea lugha hii wakijua Kiingereza kama lugha ya pili.
Welisi ilivamiwa na Uingereza mwaka wa [[1284]] na kuunganishwa kama sehemu kamili ya Ufalme wa Uingereza [[1536]]. Baada ya Ufalme wa Uingereza kuungana na [[Uskoti]] na [[Eire]] Welisi ilitambuliwa kama sehemu asilia ya Ufalme wa Muungano.
 
==Historia==
Welisi ilikaliwa na makabila mbalimbali ya Kikelti wakati kisiwa cha Britania kilivamiwa na Dola la Roma katika karne ya kwanza [[BK]]. Waroma walitawala hadi mnamo mwaka 400 BK. Tangu kuingia kwa [[Waanglia-Saksoni]] kisiwani na uenezaji wao katika [[karne ya 5]] BK milima ya Welisi ilibaki eneo ambako utamaduni wa Wakelti uliendelea kustawi. Kuanzia mwaka wa [[1284]] Welisi ilivamiwa na Uingereza na kuunganishwa kama sehemu kamili ya Ufalme wa Uingereza [[1536]]. Baada ya Ufalme wa Uingereza kuungana na [[Uskoti]] na [[Eire]] Welisi ilitambuliwa kama sehemu asilia ya Ufalme wa Muungano.
 
Katika karne ya 18 na 19 Welisi iliona kuongezeka kwa viwanda; [[makaa mawe]] na magodi ya [[shaba]] na [[chuma]] yaliweka msingi kwa tasnifu ya viwanda. Viwanda vya Welisi vilizalisha karibu nusu ya chuma chote cha Uingereza. Wakazi waliongezeka hasa katika kusini kwa sababu wafanyakazi Waingereza walihamia Welisi. Katika karne ya 20 akiba za [[malighafi]] ziliisha na viwanda vingi vilifungwa.
 
Mwaka wa [[1998]] Welisi ilipewa bunge lake la pekee linalosimamia matumizi ya makisio yake na kuchagua serikali ya eneo.