Tiba : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
rmv random el
Mstari 1:
'''Tiba''' (au: '''Uganga''') ni [[elimu]] kuhusu [[magonjwa]] ya [[watu]] mwilini na rohoni, jinsi ya kuzuia magonjwa na kuhusu njia ya kurudisha [[uzima]].
https://sw.wikipedia.org/wiki/Tiba
Elimu hii inafuata mbinu za ki[[sayansi]], tofauti na [[uganga wa kienyeji]] au wa [[Mila|kimila]].