Basi : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
d Protected "Basi" ([Kuhariri=Zuia watumiaji wapya au wale ambao hawajajisajilisha] (bila mwisho) [Kuhamisha=Zuia watumiaji wapya au wale ambao hawajajisajilisha] (bila mwisho))
kuondoa machafuko ya Tenorass
 
Mstari 1:
[[Picha:Minibus in Novoaltaisk 02.JPG|thumb|Basi dogo huko Novoaltaisk.]]
[[Picha:Yutong ZK6129H in Kraków (2).jpg|thumb|Basi la safarimasafa ndefumarefu huko [[Krakow]], [[Polandi]].]]
'''Basi''' (kutoka [[Kiingereza]] "bus") ni chombo cha [[usafiri]] kinachotumika kusafirisha [[watu]] kutoka eneo moja kwenda eneo jingine kwa ajili ya shughuli mbalimbali, kwa mfano [[kazi]], [[masomo]], [[utafiti]] na kadhalika.
[[Picha:FlixBus Setra S 431 DT - Berlin Alexanderplatz.jpg|thumb|Flixbus huko Ujerumani.]]
 
'''Basi''' (kutoka [[Kiingereza]] "bus") ni [[motokaa]] kubwa inayotumika kusafirisha [[watu]] kutoka sehemu moja kwenda sehemu nyingine.
Vyombo hivi vipo vya aina mbalimbali, kwa mfano kuna mabasi madogo yanayobeba [[abiria]] wachache na kusafiri [[umbali]] wa kawaida, pia kuna mabasi makubwa yenye kubeba [[watu]] wengi kuanzia [[hamsini]] na kuendelea na [[mabasi]] hayo husafiri umbali mrefu: yanaweza kusafiri kutoka [[nchi]] moja kwenda nchi nyingine bila kumpumzishwa.
 
Katika [[dunia]] ya sasa mabasi yanatumika sana katika shughuli mbalimbali, kwa mfano shughuli za kiuchumi kwa kusafirisha [[wafanyakazi]] na [[wafanyabiashara]] katika [[nchi]] mbalimbali.
 
Kwa msaada wa vyombo hivyo [[watu]] wanaweza kufika sehemu nyingi kwa wakati na kwenye [[kazi]] zao kwa wakati; hali hii imesaidia kwa kiasi kikubwa kukuza [[uchumi]] wa nchi nyingi [[duniani]].
 
Mabasi hutofautishwa kutokana na matumizi hasa kutokana na umbali wa safari.
* mabasi ya safari za karibu hutumiwa mjini na pia kati ya vijiji au miji ya karibu. Mara nyingi hufuata ratiba maalumu. Katika miji mikubwa hufuatana kila baada ya dakika kadhaa. Ndani ya miji ambako hayana mwendo wa kasi kubwa kuna nafasi kwa abiria wanaosimama, lakini kwa kawaida abiria huketi.
**kwa usafiri wa mjini penye idadi kubwa wa abiria kuna mabasi yenye ghorofa la juu, pia mabasi marefu yenye sehemu mbili zinazounganishwa kwa kiungo.
**mabasi ya usafiri wa mjini hayainuliwa sana juu ya uwiano wa barabara ili abiria waweze kushuka na kuingia haraka
* mabasi ya safari za mbali hayabebi idadi kubwa ya abiria kama mabasi ya mjini. Hapa kwa kawaida viti ni vizuri zaidi ili abiria waone raha kwenye safari ya masaa mengi.
**Kuna mabasi yenye choo ndani yake.
**mabasi ya safari za mbali huinuliwa juu zaidi kwa sababu abiria hufika na mizigo yao inayopakizwa kwenye sehemu ya chini; sehemu ya abiria iko juu ya tabaka penye mizigo, injini na tangi ya mafuta.
**Mabasi ya safari za mbali huwa pia na chumba cha kulala cha dereva wa pili maana madereva wa mabasi huwa na masharti kuhusu idadi ya masaa ambayo hayaruhusiwi kupita kwa sababu za usalama.
<gallery>
Mercedes-Benz 405GN 1 Gelenkbus.jpg|Basi la mjini lenye kiungo cha kukunja
LT 471 (LTZ 1471) Arriva London New Routemaster (19522859218).jpg|Basi la ghorofa 2 mjini London
Lanzarote Irizar.jpg|Basi la safari za mbali
</gallery>
{{tech-stub}}