Shaka Zulu : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
Mstari 1:
[[Image:KingShaka.jpeg|thumb|right|Picha ya Shaka Zulu mnamo mwaka 1824]]
'''Shaka''' (pia: Tshaka, Tchaka au Chaka; halafu: '''Shaka Zulu''', Shaka ka Senzangakhona) (* takriban 1781 - 1828 [[BK]]) alikuwa kiongozi wa [[Zulu|Wazulu]] aliyebadilisha ukoo mdogo wa [[Nguni|Kinguni]] kuwa kabila au taifa kubwa lililotawala maeneo mapana ya [[Afrika Kusini]] kati ya mito yahasa [[PhonogoloNatal]] enya [[Mzimkhulu]]leo.
 
Sifa zake zimetokana na uwezo wa kupanusha utawala wake kutoka eneo ndogo la 260 km² kuwa 28.500 km², kuvunja nguvu ya makabila mengine na kuyaunganisha na taifa lake. Katika historia ya kijeshi ya Afrika alianzisha mbinu mpya zilizopanusha uwezo na enzi yake. Sifa hizi, jinsi ilivyo mara nyingi na viongozi wanaotegemea nguvu ya kijeshi, zimeenda pamoja na vita na uharibufu mwingi. Miaka ya Shaka ilianzisha kipindi cha [[mfecane]] yaani "uharibifu" kinachokumbukwa na mataifa mengi ya Afrika Kusini.