10,599
edits
(Badiliko la jamii) |
(Nyongeza subdivision kwenye sanduku) |
||
| nusufaila = [[Vertebrata]] (Wanyama wenye uti wa mgongo)
| ngeli = [[Ndege|Aves]] (Ndege)
| oda = [[Gruiformes]] (Ndege kama [[korongo (Gruidae)|
| familia = [[Gruidae]] (Ndege walio na mnasaba na
| bingwa_wa_familia = [[Nicholas Aylward Vigors|Vigors]], 1825
| subdivision = '''Jenasi 4:'''
* ''[[
* ''[[
* ''[[
* ''[[Grus]]'' <small>[[Mathurin Jacques Brisson|Brisson]], 1760</small>
}}
'''Korongo''' hawa (pia '''mana''') ni [[ndege]] wa [[familia (biolojia)|familia]] ya [[Gruidae]] wenye domo fupi na jembamba kuliko lile la [[korongo (Ciconiidae)|korongo]] wa familia ya [[Ciconiidae]]. [[Spishi]] nyingi hufanya mikogo ya kubembeleza jike wakitoa sauti kubwa. Huugana kwa maishi yao yote. Spishi za nchi za halijoto wastani huhama kila mwaka kabla ya wakati wa baridi. Korongo hawa hupenda kuwa pamoja na huhama kwa makundi makubwa. Hula kila kitu kinachopatikana, kama [[panya]], [[mtambaazi|watambaazi]], [[amfibia]] au [[samaki]], hata [[nafaka]] na [[tunda|matunda]] madogo. Spishi za korongo zinatokea mabara yote ghairi ya [[Amerika ya Kusini]].
|