Mashahidi wa Yehova : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
Tags: Mobile edit Mobile web edit
d Masahihisho aliyefanya 197.187.186.73 (Majadiliano) yalirejeshwa hadi sahihisho la mwisho na Kipala
Tag: Rollback
Mstari 9:
Kwa sasa wako [[milioni]] 8.3 katika [[jumuia]] 119,485 (kadiri ya ''Kitabu cha Mwaka 2017 cha Mashahidi wa Yehova''<ref>2017 Yearbook of Jehovah's Witnesses. Watchtower Bible and Tract Society. 2016. pp. 185–186.</ref>). Ongezeko ni la [[asilimia]] 1.8 kwa mwaka.<ref>2017 Yearbook of Jehovah's Witnesses. Watchtower Bible and Tract Society. 2016. pp. 185–186.</ref>
Kwa sababu hizo katika nchi mbalimbali dini hiyo iliwahi kukatazwa, kama nchini Urusi[[Tanzania]] nawakati koreawa kaskazini[[urais]] wa [[Julius Nyerere]] au bado ni marufuku.
 
== Hoja dhidi yao ==
Wengi wamelaumu Mashahidi wa Yehova hasa kutokana na jinsi walivyotafsiri na wanavyofafanua Biblia, mafundisho yao, [[katazo]] la [[utoaji damu]], kutokubali [[matibabu]] yanayohusisha [[damu]], mara kadhaa za [[utabiri]] wao kutotimia hasa kuhusu mambo ya mwisho, pamoja na jinsi waumini wanavyofuatiliwa na kushinikizwa na viongozi wao.
 
Kwa sababu hizo na kwa kutokubali kwa sababu ya [[dhamiri]] kujiunga na [[jeshi]], kusalimu [[bendera]] za [[taifa]] au kuimba [[nyimbo]] za Taifa , pamoja na msimamo wao wa kutounga mkono upande wowote katika siasa, katika nchi mbalimbali dini hiyo iliwahi kukatazwa, kama nchini [[Tanzania]] wakati wa [[urais]] wa [[Julius Nyerere]] au bado ni marufuku kama vile huko [[Kazakstan]], [[Eritrea]] na sasa [[Urusi]].
 
Wenyewe wamekataa daima lawama hizo, lakini kila mwaka wengi wanajitenga nao.