Mto Vaal : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
 
No edit summary
Mstari 5:
Vaal ni mto muhimu kwa ajili ya kilimo, viwanda na matumizi ya nyumbani eneo la Johannesburg.
 
Katika historia ya Afrika Kusini mto Vaal ulikuwa mpaka kati ya koloni zaya [[Uingereza]] kusini ya mto na jamhuri za makaburu kaskazini ya mto. Jina la kihistoria ya "[[Transvaal]]" limemaanisha "ng'ambo ya mto Vaal".