Tofauti kati ya marekesbisho "Microsoft"

2 bytes removed ,  miaka 2 iliyopita
Fixed typo
(Fixed typo)
Tags: Mobile edit Mobile app edit Android app edit
[[Makao makuu]] yako [[Redmond, Washington]], [[Marekani]].
 
Kampuni hii inaendeleza, kutengeneza, kutoa leseni, kusaidia na kuuza [[programu]] za kompyuta, vifaa vya umeme, kompyuta binafsi pamoja na huduma zihusianazo na hizo. Programu yake ya kompyuta ijulikanayo sana ni mfumo ongozo wa kompyuta wa [[Microsoft Windows]], na programu nyingine kama vile, [[Microsoft Office]], na [[Internet Explorer]] pamoja na [[Edge Web]]. Vifaa vyake maarufu ni vifaa michezo vya Xbox pamoajapamoja na mfumo wa [[kioomguso]] uitwao [[Microsoft Surface lineup]] kwa ajili ya kompyuta binafsi.
 
Kwa mwaka wa 2016, ndiyo kampuni kubwa duniani yenye kutengeneza programu za kompyuta kwa makusanyo ya jumla, na ni moja kati ya kampuni zenye thamani kubwa zaidi duniani. Microsoft ni kampuni iliyoko nafasi ya 30 katika orodha ya mwaka 2018 ya Fortune 500 ya mashirika makuu makubwa ya Marekani na mapato ya jumla.
 
== Tanbihi ==