Petro Li Quanhui : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
Ukurasa ulianzishwa kwa kuandika 'thumb|[[Wafiadini Wakatoliki wa China.]] '''{{PAGENAME}}''' (Chentuncun, 1837 hivi - Chentuncun, 30 Juni...'
 
No edit summary
Mstari 1:
[[File:Martyr Saints of China.jpg|thumb|[[Wafiadini]] [[Wakatoliki]] wa China.]]
'''{{PAGENAME}}''' ([[Chentuncun]], [[1837]] hivi - [[Chentuncun]], [[30 Juni]] [[1900]]) alikuwa [[mlei]] wa [[China]] aliyefia [[Ukristo]] wakati wa [[Uasi wa Waboksa]].
 
[[Papa Yohane Paulo II]] alimtangaza [[mtakatifu]] pamoja na wengine 119 [[tarehe]] [[1 Oktoba]] [[2000]].