Waanglia-Saksoni : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
Ukurasa ulianzishwa kwa kuandika ''''Waanglia-Saksoni''' (''Anglo-Saxon'') walikuwa Wagermanik wenye asili katika Ujerumani ya Kaskazini ya leo waliohamia Uingereza wakati...'
 
No edit summary
Mstari 1:
'''Waanglia-Saksoni''' (''Anglo-Saxon'') walikuwa [[Wagermanik]] wenye [[asili]] katika [[Ujerumani |Ujerumani ya Kaskazini]] ya leo waliohamia [[Uingereza]] wakati wa [[karne ya 5]] na [[Karne ya 6|6]] [[BK]] na kuwa wenyeji. wanatazamiwahata kama mababu wa Waingereza wa leo. Jina linaonyesha kwamba walianzawakahesabiwa kama mchanganyiko wa makabila mbalimbali maana "Anglia" ni sehemu ya jimbo la [[Schleswig-HolsteinBabu|mababu]] ya leo na Wasaksonia walikalia maeneo ipande wa kusini-magharibi kutoka kule (kuanzia [[Saksonia ChiniWaingereza]], [[Rhine Kaskazini-Westfalia|Westfalia]] hadi Uholanzi na pwani la kaskazini ya Ufaransa yawa leo).
 
[[Jina]] linaonyesha kwamba walianza kama mchanganyiko wa [[makabila]] mbalimbali, maana "Anglia" ni sehemu ya [[Majimbo ya Ujerumani|jimbo]] la [[Schleswig-Holstein]] ya leo na [[Wasaksoni]] walikalia maeneo upande wa [[kusini]]-[[magharibi]] kutoka kule (kuanzia [[Saksonia Chini]], [[Rhine Kaskazini-Westfalia|Westfalia]] hadi [[Uholanzi]] na [[pwani]] ta kaskazini ya [[Ufaransa]] ya leo).
Hadi mwaka 400 kisiwa kikubwa cha Britania (Great Britain) kilikaliwa na makabila wenye lugha za Kikelti. Kusini cha [[Britania]] ilikuwa sehemu ya [[Dola la Roma]]; Waroma walitawala juu ya Wakelti wenyeji waliojulikana kama Wabritania na wengi wao walizoa utamaduni mwenye mchanganyiko kati ya ule wa Kiroma na ule wa Kikelti. Mwaka 401 serikali ya Roma iliondoa jeshi lake Britania kwa sababu lilihitajika Italia. Sasa Wabritania wa Kiroma walishambuliwa kutoka [[Uskoti]] (kaskazini ya Britania). Hivyo waliwakaribisha Wasaksoni kutoka ng'ambo ya bahari kuja Britania wakawaahidi eneo la kukalia na chakula kwa msaada wa kutetea wananchi dhidi ya Waskoti<ref>Gildas: On The Ruin of Britain (De Excidio Britanniae), §23 [http://www.gutenberg.org/cache/epub/1949/pg1949-images.html online hapa] </ref>. Baada ya muda mfupi Wasaksoni hawakuridhika tena na malipo yao na vita ilitokea ambako Wasaksoni walipanusha eneo waliloshika. Vikundi vingine vya Wagermanik walifuata wakivuka Bahari ya Kaskazini na kuvamia Britania. Uvamizi huu uliendelea katika karne ya 5 na ya 6.
 
==Historia yao katika [[Britania]]==
Mnamo mwaka 600 sehemu kubwa za Uingereza ya leo ilishikwa na makabila ya Wagermanik, hasa Waanglia na Wasaksoni. Katika mikoa kadhaa kwenye pwani la mashariki walifika pia watu kutoka [[Denmark]] na [[Norwei]] waliounda madola yao.
Hadi [[mwaka]] [[400]] [[kisiwa]] kikubwa cha [[Britania]] (Great Britain) kilikaliwa na makabila yenye [[lugha za Kikelti]]. Kusini mwa [[Britania]] ilikuwa sehemu ya [[Dola la Roma]]; [[Waroma wa Kale|Waroma]] walitawala juu ya wenyeji [[Wakelti]] waliojulikana kama Wabritania na wengi wao walizoea [[utamaduni]] wenye mchanganyiko kati ya ule wa Kiroma na ule wa Kikelti.
 
HadiMwaka mwaka 400 kisiwa kikubwa cha Britania (Great Britain) kilikaliwa na makabila wenye lugha za Kikelti. Kusini cha[[401]] [[Britaniaserikali]] ilikuwa sehemu ya [[Dola la Roma]]; Waroma walitawala juu ya Wakelti wenyeji waliojulikana kama Wabritania na wengi wao walizoa utamaduni mwenye mchanganyiko kati ya ule wa Kiroma na ule wa Kikelti. Mwaka 401 serikali ya Roma iliondoa [[jeshi]] lake Britania kwa sababu lilihitajika [[Italia]]. Sasa Wabritania wa Kiroma walishambuliwa kutoka [[Uskoti]] (kaskazini yamwa Britania). Hivyo waliwakaribisha Wasaksoni kutoka ng'ambo ya [[bahari]] kuja Britania wakawaahidi eneo la kukalia na [[chakula]] kama [[shukrani]] kwa msaada wa kutetea wananchi dhidi ya [[Waskoti]]<ref>Gildas: On The Ruin of Britain (De Excidio Britanniae), §23 [http://www.gutenberg.org/cache/epub/1949/pg1949-images.html online hapa] </ref>. Baada ya [[muda]] mfupi Wasaksoni hawakuridhika tena na [[malipo]] yao na [[vita]] ilitokea ambako Wasaksoni walipanushawalipanua eneo waliloshika. Vikundi vingine vya Wagermanik walifuata wakivuka [[Bahari ya Kaskazini]] na kuvamia Britania. [[Uvamizi]] huuhuo uliendelea katika karne ya 5 na ya 6.
Wenyeji asilia walianza kutumia lugha ya mabwana wapya, wengine walihamia maeneo ya mashariki ya Welisi, Cornwall yaliyotawaliwa bado na Wakelti na Gallia (Ufaransa leo).
 
Mnamo mwaka [[600]] sehemu kubwa zaya Uingereza ya leo ilishikwa na makabila ya Wagermanik, hasa [[Waanglia]] na Wasaksoni. Katika mikoa kadhaa kwenye pwani laya [[mashariki]] walifika pia watu kutoka [[Denmark]] na [[Norwei]] waliounda [[Dola|madola]] yao.
Kutokana na mchanganyiko huu ulitokea utamaduni wa Kianglia-Kisaksoni. Lugha yao inayoitwa "Kisaksoni cha kale" imekuwa msingi wa lugha ya [[Kiingereza]] cha baadaye. Waanglia-Saksoni walifika Britania wakiwa na dini yao asilia lakini kisiwani waligeukia [[Ukristo]].
 
WenyejiWakazi asilia walianza kutumia [[lugha]] ya mabwana wao wapya, wengine walihamia maeneo ya mashariki ya [[Welisi]], [[Cornwall]] yaliyotawaliwa bado na Wakelti na [[Gallia]] (Ufaransa leo).
Waanglia-Saksoni walishambuliwa tena na tena na [[Waviking]] wa Skandinavia walioanza kushika maeneo kwenye pwani la mashariki. Katika mapigano haya wafalme wao walitafuta usaidizi wa [[Wanormandi]] katika kaskazini ya Ufaransa.
 
Kutokana na mchanganyiko huuhuo ulitokea utamaduni wa Kianglia-Kisaksoni. Lugha yao inayoitwa "Kisaksoni cha kale" imekuwa msingi wa lugha ya [[Kiingereza]] cha baadaye. Waanglia-Saksoni walifika Britania wakiwa na [[dini]] yao asilia lakini kisiwani waligeukia [[Ukristo]].
Mwaka 1066 mtemi [[William I wa Uingereza|William Mshindi]] ''(William the Conqueror)'' wa Normandi alivamia Britania na kushinda jeshi la Waanglia-Saksoni akawa mfalme William I wa Uingereza. Wavamizi Wanormandi walikuwa mabwana wapya wa Britania ya kusini wakaendelea kushika maeneo yote ya Waanglia-Saksoni na kutawala kama tabaka ya makabaila. Kwa karne za kwanza baada uvamizi [[Kifaransa]] cha mabwana wapya kilikuwa lugha ya milki lakini polepole Wanormandi walizoea lugha ya watawaliwa waliopokea pia maneno mengi kutoka Kifaransa chao. Toleo la mchanganyiko huu ni lugha ya Kiingereza ambayo ni lugha ya Kigermanik yenye maneno mengi ya asili ya [[Kilatini|Kilatini-Kifaransa]].
 
Waanglia-Saksoni walishambuliwa tena na tena na [[Waviking]] wa [[Skandinavia]] walioanza kushika maeneo kwenye pwani laya mashariki. Katika mapigano hayahayo [[wafalme]] wao walitafuta usaidizi wa [[Wanormandi]] katika kaskazini ya Ufaransa.
[[jamii:Uingereza]]
 
Mwaka [[1066]] [[mtemi]] [[William I wa Uingereza|William Mshindi]] ''(William the Conqueror)'' wa Normandi alivamia Britania na kushinda jeshi la Waanglia-Saksoni akawa mfalme William I wa Uingereza. Wavamizi Wanormandi walikuwa mabwana wapya wa Britania ya kusini wakaendelea kushika maeneo yote ya Waanglia-Saksoni na kutawala kama tabaka ya makabaila. Kwa karne za kwanza baada uvamizi [[Kifaransatabaka]] cha mabwana wapya kilikuwa lugha ya milki lakini polepole Wanormandi walizoea lugha ya watawaliwa waliopokea pia maneno mengi kutoka Kifaransa chao. Toleo la mchanganyiko huu ni lugha ya Kiingereza ambayo ni lugha ya Kigermanik yenye maneno mengi ya asili ya [[KilatiniKabaila|Kilatini-Kifaransamakabaila]].
 
Kwa [[karne]] za kwanza baada ya uvamizi [[Kifaransa]] cha mabwana wapya kilikuwa lugha ya [[milki]] lakini polepole Wanormandi walizoea lugha ya watawaliwa waliopokea pia [[neno|maneno]] mengi kutoka Kifaransa chao. Toleo la mchanganyiko huo ni lugha ya Kiingereza ambayo ni [[lugha za Kigermanik|lugha ya Kigermanik]] yenye maneno mengi ya asili ya [[Kilatini|Kilatini-Kifaransa]].
 
==Tanbihi==
{{reflist}}
{{mbegu-historia}}
[[jamii:Historia ya Uingereza]]
[[Jamii:Wagermanik]]