Wagermanik : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
Mstari 1:
'''Wagermanik''' ''(kutoka [[Kilatini]] "Germani" kupitia [[Kiingereza]] "Germanic people")'' ni [[jina]] la [[kundi]] la [[Historia|kihistoria]] la [[makabila]] na [[mataifa]] yenye [[asili]] ya [[Ulaya Kaskazini]] ambayo hujumuishwa kutokana na [[lugha]] zao zilizofanana.
 
Lugha hizo zinazoitwa [[lugha za Kigermanik]] ni kundi ndani ya [[lugha za Kihindi-Kiulaya]]. Lugha za Kigermanik huzungumzwa leo hii na wasemaji wa [[Kijerumani]], [[Kiingereza]], [[Kiholanzi]], [[Afrikaans]], lugha za [[Skandinavia]] na nyinginezo, lakini kwa kawaida wasemaji wa leo hawaitwi tena "Wagermanik" bali huangaliwa kama ukoo wa baadaye wa Wagermanik wa kale.
Lugha za Kigermanik huzungumzwa leo hii na wasemaji wa [[Kijerumani]], [[Kiingereza]], [[Kiholanzi]], [[Afrikaans]], lugha za [[Skandinavia]] na nyinginezo, lakini kwa kawaida wasemaji wa leo hawaitwi tena "Wagermanik" bali huangaliwa kama ukoo wa baadaye wa Wagermanik wa kale.
 
==Jina==
[[Jina]] la Wagermanik lilitokea mara ya kwanza kutoka kwa [[waandishi]] wa [[Roma ya Kale]].
 
[[Julius Caesar]] aliandika juu ya makabila waliokaa upande wa [[mashariki]] wa [[Wakelti]] wa [[Gallia]] kwa kuwataja kama "Germani" na watu waliokalia nchi ya "Germania". Hata Caesar hakujua mengi sana juu yao: aliwatambua tu kama tofauti na Wakelti wa Gallia.
 
Hadi leo haijulikani kama kiasili walijiita hivyo wenyewe au kama ni zaidi majirani waliowaita "Germani". [[Nadharia]] ya zamani ilisema hao "Germani" walijiita [[wanaume]] au [[watu]] (="man, mani") wenye [[mikuki]] ("ger"). Lakini siku hizi [[wataalamu]] wengi zaidi wanaona ya kwamba ni Wakelti waliowaita ama "majirani" au "watu wa msituni" kwa [[neno]] fulani la [[Kikelti]].
[[Image:Germanic tribes (750BC-1AD).png|right|200px|thumb|
Uenezi wa makabila ya Kigermanik mwaka 750 KK – BK 1 (kufuatana na ''Penguin Atlas of World History'' 1988):
Line 22 ⟶ 21:
 
Lakini neno la Kilatini "Germani" lilitaja watu wengi zaidi kuliko wakazi wa Ujerumani = Germany = Deutschland wa leo. Liliendelea kumaanisha pia wengine waliozungumza lugha za Kigermanik waliokaa [[Ulaya ya Kaskazini]] na [[Ulaya ya Mashariki]] na kushiriki katika [[uhamisho mkuu wa Ulaya]] wakati wa [[karne ya 4]] hadi [[karne ya 8|ya 8]] na kufikia hadi [[Afrika ya Kaskazini]]. Kwa Kiingereza jumla ya makabila au mataifa hayo liliitwa pia kwa jina la "Teutonic peoples / Teutonic tribes" kutokana na [[kabila]] lililojulikana kwa [[Waroma wa Kale]] kama Teutoni.
 
 
==Asili ya Wagermanik==
Line 47 ⟶ 45:
 
Kati ya falme muhimu za Kigermanik ni hasa ule wa [[Wafranki]] walioanzisha milki yao katika maeneo ya [[Ufaransa]] na Ujerumani ya leo ambazo zilikuwa chanzo cha nchi za kisasa.
{{mbegu-historia}}
 
[[Category:Makabila ya Wagermanik| ]]
 
[[Category:Wagermanik| ]]
[[Category:Watu wa Ulaya]]
[[Category:UhamishoHistoria Mkuu waya Ulaya]]