Mto Mississippi : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
Mstari 18:
[[Picha:Mississippi-map.gif|thumb|300px|left|Beseni la Mississippi.]]
'''Mto Mississippi''' ndio [[mto]] mkubwa wa [[Marekani]] ni pia kati ya mito mirefu zaidi [[duniani]] kote.
[[Picha:Lake Itasca Mississippi Source.jpg|thumb|300px|Mwanzo wa Mto Mississippi (2004)]]
[[Picha:Saint Anthony Falls aerial.jpg|thumb|300px|St. Anthony Falls]]
[[Picha:WyalusingStateParkWisconsinRiverIntoMississippiRiver.jpg|thumb|300px]]
 
[[Chanzo (mto)|Chanzo]] chake kipo [[kaskazini]] mwa Marekani kwenye [[ziwa Itasca]] katika [[Majimbo ya Marekani|jimbo]] la [[Minnesota]]. Inapita majimbo ya [[Minnesota]], [[Wisconsin]], [[Iowa]], [[Illinois]], [[Missouri]], [[Kentucky]], [[Tennessee]], [[Arkansas]], [[Mississippi (jimbo)|Mississippi]], [[Louisiana]] na kuishia katika [[ghuba ya Meksiko]] karibu na [[mji]] wa [[New Orleans]].