Maji : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
Mstari 39:
* ''Maji kwa ajili ya matumizi ya [[nyumba]]<nowiki/>ni'';maji nyumbani huweza kutumika katika kazi tofauti; moja ya kazi hizo ni kama vile kwa ajili ya kunywea, pia maji yanaweza kutumika kwa ajili ya kufanyia [[Usafi wa mazingira|usafi]] katika mazingira ya nyumbani, kwa mfano kwenye kusafishia nyumba; maji hutumika katika kufulia [[nguo]] na kadhalika.
* ''Maji hutumika katika sekta ya kilimo''; maji katika kilimo yanatumika katika kumwagilia pia maji yanatumika katika kuwanyesha wanyama na kuwasafisha na kazi nyingine nyingi.
[[File:Hindu water ritual.jpg|thumb|left|300px|[[Ibada]] ya maji katika [[dini]] ya [[Uhindu|Kihindu]].]]
* ''Hutumika katika usafirishaji''; upande wa usafirishaji maji yanayotumika ni vyanzo vikubwa vya maji kama vile bahari, mito, ma[[ziwa]] na kadhalika. Watu na [[bidhaa]] mbalimbali husafirishwa kupitia maji kutumia vyombo vya majini kama vile [[meli]], [[Mtumbwi|mitumbwi]] na [[pikipiki za majini]]. Pia katika [[nchi]] mbalimbali vyanzo vya maji kama mito vinatumika katika usafirishaji wa [[Gogo|magogo]]
* ''Hutumika katika uzalishaji wa umeme''; maji hutumika kuzalisha [[umeme]] kutokana na [[maporomoko ya maji]] au kutoka kwenye [[bwawa|mabwawa]] makubwa, kwa mfano wa [[bwawa la Nyumba ya Mungu]], [[Mtera]], [[Kidatu]] na [[Kihansi]] nchini [[Tanzania]]. [[Uganda]] umeme huzalishwa katika maporomoko ya mto wa Nile.