Mti : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
Mstari 32:
 
Miti inakuza mzizi kulingana na tabia za udongo. Penye udongo laini sana kama mchanga mti unahitaji mizizi pana inayoshikana udongo katika mazingira yake. Miti mingine inakuza hasa mzizi kama boriti.
[[Picha:Bombax LalBagh.JPG|thumb|left|(''[[Ceiba pentandra]]'')]]
 
==== Matawi ====
Matawi ni alama ya mti lakini kuna pia aina kadhaa zisizo na matawi; kwa mfano familia ya [[Arecaceae]] yenye miti kama [[mnazi]], [[mchikichi]] au [[mtende]] hukuza majani makubwa moja kwa moja kutoka shina.