Uingereza : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
d +jiografia
Mstari 66:
 
== Jiografia ==
[[Picha:Widecombe in the Moor, Devon.jpg|thumb|Mazingira ya vilima vya Devon, kusini-magharibi ya Uingereza]]
Uingereza iko kwenye kisiwa cha Britania ambayo ni kisiwa kikubwa cha [[Ulaya]]. Inapakana na [[Welisi]] upande wa magharibi na [[Uskoti]] upande wa kaskazini.
 
Upande wa magharibi iko Bahari ya Eire, na ng'ambo yake kisiwa cha [[Eire]] (Ireland). Upande wa mashariki iko [[Bahari ya Kaskazini]], ng'ambo yake [[Denmark]], [[Ujerumani]] na [[Uholanzi]]; upande wa kusini iko [[Mfereji wa Kiingereza]] halafu kwenye kusini-magharibi [[Bahari Atlantiki]], ng'ambo yake [[Ufaransa]] na [[Ubelgiji]]. Tangu mwaka [[1994]] kuna njia ya reli kwa [[tobwe]] chini ya mfereji inayounganisha Uingereza na Ufaransa.
 
Eneo la Uingereza ni takriban [[km²]] 130,000 na hivyo theluthi mbili za kisiwa cha Britania.
Mji Mkuu ni [[London]]. Kati ya miji mikubwa ya Uingereza ni: [[London]], [[Manchester]], [[Birmingham]], [[Leeds]], [[Sheffield]], [[Bradford]] na [[Liverpool]].
 
Uingereza ina visiwa vingi vidogo; kikubwa ni [[Isle of Wight]] katika kusini. Pwani zake ni ndefu hakuna mahali palipo mbali zaidi ya km 113 kutoka [[bahari]].
 
Sehemu kubwa ya nchi ni ama tambarare au vilima vidogo; mwinuko wa juu ni Scafell Pike yenye kimo cha mita 978. Milima mirefu ya Britania iko katika Welisi na Uskoti.
 
===Tabianchi===
Tabianchi ya Uingereza inaathiriwa na mahali pake baharini inayopitiwa na [[Mkondo wa Ghuba]] na [[latitudo|latitudo ya kaskazini]]. Athari hizi zinaleta tabianchi fufutende ya kibahari; kwa wastani baridi haishuki chini ya 0 [[°C]] na joto halipandi juu ya 32 °C. Hata hivyo vipindi vya [[jeledi]] au joto kali zaidi vinaweza kutokea kwa siku kadhaa. Miezi ya baridi ni Januari na Februari. Julai kwa kawaida ni mwezi mwenyo joto zaidi. Hali ya hewa mara nyingi ni nyevunyevu na mvua inaweza kutokea mwaka wote. Vipindi vya mvua na jua hubadilishana haraka.
 
 
===Miji ya Uingereza===
Mji Mkuu ni [[London]]. Kati ya miji mikubwa ya Uingereza ni: [[London]] (wakazi 9,787,426), [[Manchester]] (2,553,379), [[Birmingham]] (pamoja na West Midlands 2,440,986), [[Leeds]] (pamoja na West Yorkshire 1,777,934), [[Sheffield]], [[Bradford]] na [[Liverpool]].
 
Uingereza ina visiwa vingi vidogo; kikubwa ni [[Isle of Wight]] katika kusini.
 
=== Mito ya Uingereza ===
[[Picha:CanalettoSomersetHouseTerrace.jpg|thumb|left|320px|Mto Thames katika London mnamo mwaka 1750]]
Kutokana na tabianchi yenye mvua ya kutosha kuna mito mingi nchini. Mito mirefu ni Thames (km 346) na Severn (km 350).
 
* [[Severn (mto)|Severn]] (mto mrefu wa [[Britania]])
* [[Thames (mto)|Thames]] (mto mrefu katika Uingereza)
* [[Trent (mto)|Trent]]
* [[Humber (mto)|Humber]]
Line 90 ⟶ 103:
=== Mikoa ya Uingereza ===
{{main|Mikoa ya Uingereza}}
Kihistoria Uingereza iligawiwa kwa kaunti (''counties'') na miji (''boroughs'').
 
Nchi yote imegawiwa leo kwa mikoa (regions) 9. Mikoa kadhaa huwa na mamlaka fulani ya kiutawala, lakini si yote. Menginevyo utawala wa kieneo kunatokea hasa kwenye ngazi ya kaunti na halmashauri ndani ya kila mkoa.
{{Uingerezamap|width={{{width|250}}}|float=left}}