Tofauti kati ya marekesbisho "Uingereza"

258 bytes added ,  miaka 2 iliyopita
no edit summary
|}
 
'''Uingereza''' (pia: '''Ingilandi''', kutoka [[Kiingereza]]: '''England''') ni nchi kubwa ndani ya [[Ufalme wa Muungano]] yenye wakazi [[milioni]] 50 au (83[[%]] ya wakazi wote wa Ufalme wote) na eneo lake ni takriban [[km²]] 130,000 ([[theluthi]] [[mbili]] yaza [[kisiwa]] cha [[Britania]]).
 
==Jina==
Katika [[lugha]] ya kila siku "Uingereza" hutaja mara nyingi Ufalme wote au kisiwa chote cha Britania. Lakini halikwa halisiusahihi "Uingereza" ni ile sehemu kubwa zaidi kwenye [[kusini]] yamwa kisiwa, natofauti nje yake kunana nchi za [[Welisi]] (Wales, upande wa [[magharibi]]) na [[Uskoti]] (Scotland, upande wa [[kaskazini]]).
 
[[Asili]] ya [[jina]] la [[Kiswahili]] ni neno <big>إنجليزي</big> ''injilisi'' ''(matamshi ya Kimisri: ingilisi)''" katika lugha ya [[Kiarabu]]; [[Waarabu]] walisikia jina "inglish" wakirahisisha matamshi kuwa "inglis", wakaongeza [[sauti]] fupi kati ya "g" na "l", hivyo kufikia kwa "ingilis" ambako "i" ya pili ni fupi kiasi cha kusikia pia "e" na hivyo ilipokelewailipokewa na [[Waswahili]]. Kwa namna ya [[Kibantu]] sauti ya "l" ikawa "r": ingelesi kuwa ingereza.
 
== Jiografia ==
Uingereza iko kwenye kisiwa cha Britania ambacho ndicho kisiwa kikubwa cha [[Ulaya]]. Inapakana na [[Welisi]] upande wa magharibi na [[Uskoti]] upande wa kaskazini.
 
Upande wa magharibi iko [[Bahari ya Eire]], na ng'ambo yake kisiwa cha [[Eire]] (Ireland). Upande wa [[mashariki]] iko [[Bahari ya Kaskazini]], ng'ambo yake [[Denmark]], [[Ujerumani]] na [[Uholanzi]]; upande wa kusini uko [[Mfereji wa Kiingereza]] halafu kusini-magharibi [[Bahari Atlantiki]], ng'ambo yake [[Ufaransa]] na [[Ubelgiji]]. Tangu mwaka [[1994]] chini ya mfereji huo kuna njia ya [[reli]] kwa [[tobwe]] inayounganisha Uingereza na Ufaransa.
 
Uingereza ina visiwa vingi vidogo; kikubwa ni [[Isle of Wight]] katika kusini. [[Pwani]] zake ni ndefu, hakuna mahali palipo mbali zaidi ya [[km]] 113 kutoka [[bahari]]ni.
Eneo la Uingereza ni takriban [[km²]] 130,000 na hivyo theluthi mbili za kisiwa cha Britania.
 
Sehemu kubwa ya nchi ni ama tambarare au vilima vidogo; mwinuko wa juu ni [[Scafell Pike]] yenye [[kimo]] cha [[mita]] 978. MilimaKumbe [[milima]] mirefu ya Britania iko katika Welisi na Uskoti.
Uingereza ina visiwa vingi vidogo; kikubwa ni [[Isle of Wight]] katika kusini. Pwani zake ni ndefu, hakuna mahali palipo mbali zaidi ya km 113 kutoka [[bahari]].
 
Sehemu kubwa ya nchi ni ama tambarare au vilima vidogo; mwinuko wa juu ni Scafell Pike yenye kimo cha mita 978. Milima mirefu ya Britania iko katika Welisi na Uskoti.
 
===Tabianchi===
[[Tabianchi]] ya Uingereza inaathiriwa na mahali pake baharini inayopitiwa na [[Mkondo wa Ghuba]] na [[latitudo|latitudo ya kaskazini]]. Athari hizihizo zinaleta tabianchi fufutende ya kibahari; kwa [[wastani]] [[baridi]] haishuki chini ya 0 [[°C]] na [[joto]] halipandi juu ya 32 °C. Hata hivyo vipindi vya [[jeledi]] au [[joto]] kali zaidi vinaweza kutokea kwa [[siku]] kadhaa. Miezi ya baridi ni [[Januari]] na [[Februari]]. [[Julai]] kwa kawaida ni mwezi mwenyowenye joto zaidi. [[Hali ya hewa]] mara nyingi ni nyevunyevu na [[mvua]] inaweza kutokea mwaka wote. Vipindi vya mvua na [[jua]] hubadilishana haraka.
 
===Miji ya Uingereza===
[[Mji Mkuumkuu]] ni [[London]]. Kati ya [[miji]] mikubwa ya Uingereza ni: [[London]] (wakazi 9,787,426), [[Manchester]] (2,553,379), [[Birmingham]] (pamoja na West Midlands 2,440,986), [[Leeds]] (pamoja na West Yorkshire 1,777,934), [[Sheffield]], [[Bradford]] na [[Liverpool]].
 
=== Mito ya Uingereza ===
[[Picha:CanalettoSomersetHouseTerrace.jpg|thumb|left|320px|Mto Thames katika London mnamo mwaka 1750]]
Kutokana na tabianchi yenye mvua ya kutosha kuna [[mito]] mingi nchini. Mito mirefu ni Thames (km 346) na Severn (km 350).
* [[Severn (mto)|Severn]] (mto mrefu wa [[Britania]])
* [[Thames (mto)|Thames]] (mto mrefu katika Uingereza)
=== Mikoa ya Uingereza ===
{{main|Mikoa ya Uingereza}}
Kihistoria Uingereza iligawiwa kwakatika [[kaunti]] (''counties'') na miji (''boroughs'').
 
Nchi yote imegawiwa leo kwakatika [[mikoa]] (regions) 9. Mikoa kadhaa huwa na [[mamlaka]] fulani ya kiutawala, lakini si yote. MenginevyoVinginevyo [[utawala]] wa kieneo kunatokea hasa kwenye ngazi ya kaunti na [[halmashauri]] ndani ya kila mkoa.
{{Uingerezamap|width={{{width|250}}}|float=left}}
 
== Historia ==
Uingereza ilikaliwa na [[makabila]] ya [[Wabritania]] wenye lugha za [[Kikelti]] na kuvamiwa na [[Dola la Roma]] katika [[karne ya pili2]] [[BK]]. Ikawa sehemu ya Dola la Roma hadi [[karne ya tano5]] BK. Wakati ule [[Waroma wa Kale|Waroma]] walipaswa kuondoa [[wanajeshi]] wao kisiwani kwa ajili ya [[ulinzi]] wa nchi za [[bara]].
 
=== Uvamizi wa Waanglia-Saksoni ===
Katika [[karne za 5]] na [[Karne ya 6|6]] BK makabila ya [[Kigermanik]] walivamia kisiwa hasa [[Wasaksoni]], [[WaangliaWaangli]] na [[Wadenmark]]. Walileta [[Lugha za Kigermanik|lugha zao za Kigermanik]] zilizochukua nafasi ya lugha ya [[Wabritania]].
 
Wabritania na Waroma waliokuwa wamebaki walihamia maeneo ya kando kama Welisi au [[Cornwall]] au kuvuka mfereji wa Uingereza kwenda [[Britania Ndogo]] (Kiingereza: Brittany; [[Kifaransa]]: Bretagne).
 
[[Karne]] zilizofuata kisiwa kiliona [[madola]] madogo na hali ya [[vita]]. [[Mwaka]] [[937]] [[Mfalme]] [[Athelstan]] aliweza kuunganisha karibu eneo lote la Uingereza ya leo.
 
=== Uvamizi wa Wanormani ===
Mwaka [[1066]] wanajeshi [[Wanormani]] kutoka kaskazini yamwa Ufaransa walivamia Uingereza na kutekakuiteka yote chini ya mtemi [[William Mshindi]]. Wavamizi walitawala wakitumia aina ya Kifaransa. Lugha zote mbili za wananchi na za mabwana ziliendelea pamoja sambamba hadi kuwa lugha moja cha [[Kiingereza]].
 
=== Ufalme wa Muungano ===
Tangu mwaka [[1601]] mfalme [[James VI wa Uskoti]] alichaguliwa kuwa mfalme wa Uingereza pia. Nchi jirani zote mbili ziliendelea na wafalme wa pamoja hadi mwaka [[1707]]. Mwaka ule Uingereza pamoja na Welisi na Uskoti ziliunganishwa kuwa Ufalme wa Muungano wa Britania. Tangu 1801 jina likawa Ufalme wa Muungano wa Britania na Eire (United Kingdom of Great Britain and Ireland) hadi 1927 wakati sehemu kubwa ya Eire ikapata uhuru wake. Tangu [[1927]] Uingereza ni sehemu ya [[Ufalme wa Muungano wa Britania na Eire ya Kaskazini]]. (United Kingdom of Great Britain and Northern Ireland).
 
Tangu mwaka [[1801]] jina likawa [[Ufalme wa Muungano wa Britania na Eire]] (United Kingdom of Great Britain and Ireland) hadi [[1927]] wakati sehemu kubwa ya Eire ikapata [[uhuru]] wake. Tangu hapo Uingereza ni sehemu ya [[Ufalme wa Muungano wa Britania na Eire ya Kaskazini]] (United Kingdom of Great Britain and Northern Ireland).
 
[[Picha:Liverpool skyline.jpg|thumb|330px|Mji wa Liverpool]]