Ebola : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
merging Ebola virus disease in here
Mstari 67:
 
Hatimaye mlipuko huo ulimalizika mnamo Januari [[2016]] baada ya kuua watu 11,000.
 
 
--------------------------
 
{{unganisha|Ebola}}
==Ebola ni nini?==
Ebola husababishwa na virusi.
* Husababisha ugonjwa mkali, wenye kuvuja damu
* Hadi asilimia 90 ya wagonjwa hufa
* Haina chanjo, na haina tiba – LAKINI kupokea matibabu katika Vituo vya Ebola MAPEMA huongeza uwezekano wa kupona
* Ina kiwango cha juu cha uambukizaji; watu wengi wanaweza kuambukizwa haraka
 
==Huenea Vipi?==
Watu wagonjwa wanaweza kuusambaza ugonjwa huu kwa wengine
* Watu wanaogusana na wagonjwa wapo katika hatari zaidi:
# Jamaa
# Wahudumu wa afya
 
Miili ya wafu pia inaweza kueneza ugonjwa. KUWA MWANGALIFU (Zika kwa makini.. Weka mbali)
* Usioshe, kugusa wala kuibusu miili ya wafu
* Usinawe mikono kwenye ndoo walionawia watu walioguza mwili wa mgonjwa.
 
==Dalili za Mapema==
(Ugonjwa unaweza kuanza siku 2-21 baada ya kugusana na mtu au mwili ulioambukizwa)
* HOMA
* UCHOVU
* MAUMIVU YA KICHWA
* KICHEFUCHEFU
 
==Dalili za Baadaye==
* KUTAPIKA - Matapishi yanaweza kuwa na damu
* KUHARISHA - Kinyesi kinaweza kuwa na damu
* KUVUJA DAMU – (ikijumuisha kutoka puani, kinywani, ngozini)
* KIKOHOZI - kinaweza kuwa na damu
 
==Kinga==
UNAWEZA KUAMBUKIZWA EBOLA KUTOKA KWA MTU MGONJWA AU ALIYEKUFA
* Usimguse mtu aliyekufa wala viowevu vya mwili wake
* DAMU
* MATAPISHI
* KINYESI AU KUHARA
* MKOJO
* Usiguse miili ya wafu
* NAWA MIKONO MARA KWA MARA - Tumia SABUNI (iwapo huwezi kunawa, panguza na jeli ya alkoholi)
* EBOLA huwaambukiza wanyama na popo pia. Usiguse wala kula "nyama ya msituni" au popo
 
==Hatua za Kuchukua Ukiambukizwa==
* Piga simu kwenye kituo chako cha matibabu uwaeleze kuhusu ugonjwa wako
* Sikiliza maoni yao. Huenda ukatumwa hadi hospitali maalum.
* Kaa mbali na watu wengine ili nao wasiambukizwe
* Hasa kuwa mwangalifu na matapishi na kinyesi chako
Ingawa hakuna tiba, kupokea matibabu katika Vituo vya Ebola MAPEMA huongeza uwezekano wa kupona.
Habari hii imeandaliwa kwa malengo ya kielimu pekee na ni sahihi katika wakati wa kuchapishwa. Habari hii haikusudiwi kutumika badala ya ushauri wa kimatibabu. Iwapo una maswali au maswala yoyote kuhusu mada yoyote iliyozungumziwa, tafadhali pata ushauri wa mtalaam wa kiafya.
 
==Mtu Akifariki Kutokana na Ebola Akiwa Nyumbani==
 
* USIGUSE mwili, malazi au viowevu vya mwili wake.
* Kaa fiti 3 (mita 1) mbali na mwili.
* Mpigie simu mhudumu wa afya.
* Waruhusu wahudumu wa afya nyumbani mwako.
* Waruhusu wahudumu wa afya washughulikie mwili huo na wasafishe nyumba.
 
Wahudumu wa afya watanyunyiza nyumba kwa kinyunyizi cha klorini,
Enda na wahudumu wa afya kwenye eneo la kaburi.
Waliofariki kwa Ebola lazima wazikwe haraka.
Epuka kushiriki chakula, kinywaji na kunawa mikono kwa pamoja wakati wa sherehe za mazishi.
Kawisha sherehe za baada ya mazishi hadi baadaye katika mwaka.
Nyumba ikiwa safi ni salama kwako kurudi.
 
==Usafi na Kunawa Mikono==
*Safisha nyumba yako kwa sehemu 1 ya dawa ya kung’arisha na sehemu 9 ya maji.
*Nawa mikono yako kila mara kwa sabuni.
 
[[Jamii:Translators without Borders]]
 
 
 
 
 
 
----------------------------
 
 
 
 
 
 
 
==Tanbihi==