Nnamdi Azikiwe : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
Mstari 1:
'''Benjamin Nnamdi Azikiwe''' (kwa kawaida hujulikana kama '''Nnamdi Azikiwe''', au, kinyumbani na maarufu, '''Zik'''; [[16 Novemba]] [[1904]] – [[11 Mei]] [[1996]]) alikuwa [[mwanzilishi]] wa [[nadharia]] ya [[siasa]] ya utaifa wa [[Nigeria]] na pia [[rais]] wa kwanza kuchaguliwa kidemokrasia wa [[Nigeria]] ya leo. Alishirikilia nafasi kama mwanajamhuri wa kwanza wa [[Nigeria]].
 
Azikiwe alifafanua siasa ya "[[Uziki]]" katika [[maandishi]] yake, kama vile: ''Renascent Africa'' ([[1973]]) na [[historia]] ya [[maisha]] yake: ''My Odyssey''.
==Tazama pia==
 
* [[Uziki]]
Uziki unategemea misingi mitano kwa [[ukombozi]] wa [[Afrika]]:
*'''Uwiano wa kiroho'''<ref>To show empathy for other peoples views, and recognize their right to hold such views.</ref>
*'''Jamii kuzaliwa upya'''<ref>To expel from one's self national, religious, racial, tribal, political-economic, and ethical prejudice.</ref>
*'''Nia katika uchumi'''<ref>To realize that being self-sufficient economically is the basis for rescuing the Renascent African.</ref>
*'''Ukombozi wa akili'''<ref>To be knowledgeable of African history and accomplishments, and to dismiss any kind of complex exhibited by any race or tribe.</ref>
*'''Ufufuko wa kisiasa'''<ref>To regain the sovereignty that Africa has lost to colonialists.</ref>
 
==Viungo vya Nje==