Tofauti kati ya marekesbisho "Gujarat"

29 bytes added ,  mwaka 1 uliopita
+Ahmedabad
d (Bot: Migrating 89 interwiki links, now provided by Wikidata on d:q1061 (translate me))
(+Ahmedabad)
[[Picha:Gujarat map with Gir Nat Park-de.svg|thumb|250px|Ramani ya Gujarat]]
[[Picha:Gujarat locator map.svg|thumb|right|250px|Ramani ya Gujarat]]
'''Gujarat''' ni [[jimbo]] la kujitawala ndani ya [[shirikisho]] la [[Uhindi]]. Mji mkuu ni [[Gandhinagar]] ambayo ni mji mpya uliopewa jina lake kwa kwa heshima ya [[Mahatma Gandhi]] alyiezaliwaaliyezaliwa Gujarat. Mji mkubwa ni [[Ahmedabad]].
 
Gujarat ina eneo la 196,024 [[km²]] zinazokaliwa na wakazi milioni 50. Lugha rasmi ni [[Kigujarati]] inayotumiwa na asilimia 80 za wakazi. Watu wengi ni Wahindu (89%), kuna pia Waislamu (9%) na Wajain (1%).