Welisi : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
Mstari 63:
[[Picha:Map of Wales.GIF|thumb|right|250px|Ramani ya Welisi]]
 
'''Welisi''' (kutoka [[Kiing.Kiingereza]]: '''Wales'''; kwa ([[Kiwelisi]]: '''Cymru''' ({{Audio|Cymru.ogg|matamshi}}: ''kimru'')) ni nchi ya [[Ulaya]] kwenye [[kisiwa]] cha [[Britania]] na sehemu ya [[Ufalme wa Muungano]].
 
Welisi ni [[rasi]] kubwa inayoingia katika sehemu ya [[Bahari Atlantiki]] inayotenganisha Britania na [[Eire]] (Ireland). Eneo lake lote lina km<sup>²</sup> 20,735. Inapakana na [[nchi ya Uingereza|Uingereza]] upande wa [[mashariki]]. Pande zinginenyingine ni [[pwani]]. Eneo lake lote lina km<sup>²</sup> 20,735.
 
Mji mkuu ni [[Cardiff]] (kwa Kiwelisi: ''Caerdydd'').
 
[[Idadi]] ya wakazi ni karibu [[milioni]] [[tatu]]. [[Lugha]] asilia ni [[Kiwelisi]] ambacho ni kimoja kati ya [[lugha za Kikelti]]. Leo hii kuna bado [[asilimia]] 20% za wakazi wanaotumia Kiwelisi lakini wengine wamezoea zaidi [[Kiingereza]]. Wasemaji wa Kiwelisi wako hasa katika [[kaskazini]] na kwenye sehemu ya [[milima]] ambako kuna maeneo ambako idadi kubwa ya watu huongea lugha hii wakijua Kiingereza kama [[lugha ya pili]].
 
==Historia==
Welisi ilikaliwa na [[makabila]] mbalimbali ya [[Wakelti|Kikelti]] wakati kisiwa cha Britania kilivamiwa na [[Dola la Roma katika karne ya kwanza [[BK]]. Waroma walitawala hadi mnamo mwaka 400 BK. Tangu kuingia kwa [[Waanglia-Saksoni]] kisiwani na uenezaji wao katika [[karne ya 51]] [[BK milima ya Welisi ilibaki eneo ambako utamaduni wa Wakelti uliendelea kustawi]]. Kuanzia mwaka wa [[1284]] Welisi ilivamiwa na Uingereza na kuunganishwa kama sehemu kamili ya UfalmeWaroma wa Uingereza [[1536Kale|Waroma]]. Baadawalitawala yahadi Ufalme wa Uingereza kuungana namnamo [[Uskotimwaka]] na [[Eire400]] WelisiBK. ilitambuliwa kama sehemu asilia ya Ufalme wa Muungano.
 
Tangu kuingia kwa [[Waanglia-Saksoni]] kisiwani na uenezi wao katika [[karne ya 5]] milima ya Welisi ilibaki eneo ambako [[utamaduni]] wa Wakelti uliendelea kustawi.
Katika karne ya 18 na 19 Welisi iliona kuongezeka kwa viwanda; [[makaa mawe]] na magodi ya [[shaba]] na [[chuma]] yaliweka msingi kwa tasnifu ya viwanda. Viwanda vya Welisi vilizalisha karibu nusu ya chuma chote cha Uingereza. Wakazi waliongezeka hasa katika kusini kwa sababu wafanyakazi Waingereza walihamia Welisi. Katika karne ya 20 akiba za [[malighafi]] ziliisha na viwanda vingi vilifungwa.
 
MwakaKuanzia mwaka wa [[19981284]] Welisi ilipewailivamiwa bungena lakeUingereza lana pekeekuunganishwa linalosimamiakama matumizisehemu kamili ya makisioUfalme yakewa naUingereza kuchaguamwaka serikali ya eneo[[1536]].
 
Baada ya Ufalme wa Uingereza kuungana na [[Uskoti]] na [[Eire]] Welisi ilitambuliwa kama sehemu asilia ya Ufalme wa Muungano.
 
Katika [[karne ya 18]] na [[Karne ya 19|19]] Welisi iliona kuongezeka kwa [[viwanda]]; [[makaa mawe]] na magodi[[Mgodi|migodi]] ya [[shaba]] na [[chuma]] yaliwekaviliweka [[msingi]] kwawa tasnifu ya viwanda. Viwanda vya Welisi vilizalisha karibu [[nusu]] ya [[chuma]] chote cha Uingereza. Wakazi waliongezeka hasa katika [[kusini]] kwa sababu [[wafanyakazi Waingereza walihamia Welisi. Katika karne ya 20 akiba za]] [[malighafiWaingereza]] ziliishawalihamia naWelisi. viwanda vingi vilifungwa.
 
Katika [[karne ya 20]] [[akiba]] za [[malighafi]] zilikwisha na viwanda vingi vilifungwa.
 
Mwaka wa [[1998]] Welisi ilipewa [[bunge]] lake la pekee linalosimamia matumizi ya makisio yake na kuchagua [[serikali]] ya eneo.
 
{{mbegu-jio-Ulaya}}