Welisi : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
Mstari 26:
|areami² = 8,022
|percent_water =
|population_estimate = 23,958124,600000<sup>1</sup>
|population_estimate_rank =
|population_estimate_year = 20052017
|population_census = 23,903063,085456
|population_census_year = 20012011
|population_density = 140
|population_densitymi² = 361
Mstari 68:
 
Mji mkuu ni [[Cardiff]] (kwa Kiwelisi: ''Caerdydd'').
 
[[Idadi]] ya wakazi ni karibu [[milioni]] [[tatu]]. [[Lugha]] asilia ni [[Kiwelisi]] ambacho ni kimoja kati ya [[lugha za Kikelti]]. Leo hii kuna bado [[asilimia]] 20 za wakazi wanaotumia Kiwelisi lakini wengine wamezoea zaidi [[Kiingereza]]. Wasemaji wa Kiwelisi wako hasa [[kaskazini]] na kwenye sehemu ya [[milima]] ambako kuna maeneo ambako idadi kubwa ya watu huongea lugha hii wakijua Kiingereza kama [[lugha ya pili]].
 
==Historia==
Line 86 ⟶ 84:
Mwaka wa [[1998]] Welisi ilipewa [[bunge]] lake la pekee linalosimamia matumizi ya makisio yake na kuchagua [[serikali]] ya eneo.
 
==Watu==
[[Idadi]] ya wakazi ni zaidi ya [[milioni]] [[tatu]].
 
[[Idadi]] ya wakazi ni karibu [[milioni]] [[tatu]]. [[Lugha]] asilia ni [[Kiwelisi]] ambacho ni kimoja kati ya [[lugha za Kikelti]]. Leo hii kuna bado [[asilimia]] 2019 za wakazi wanaotumia Kiwelisi lakini wengine wamezoea zaidi [[Kiingereza]]. Wasemaji wa Kiwelisi wako hasa [[kaskazini]] na kwenye sehemu ya [[milima]] ambako kuna maeneo ambako idadi kubwa ya watu huongea lugha hii wakijua Kiingereza kama [[lugha ya pili]].
 
Upande wa [[dini]], 57.6[[%]] ni [[Wakristo]], hasa [[Waanglikana]]. 0.8% ni [[Waislamu]]. 32.1% hawana dini yoyote.
{{mbegu-jio-Ulaya}}