Mchanga : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
 
Mstari 1:
[[Picha:Sand und Brandung.jpg|thumb|250px|Maji na mchanga mwambaoni]]
'''Mchanga''' ni punje ndogo za [[mwamba]] uliosagwauliosagika.
 
Kufuatana na mapatano ya kitaalamu [[mawe]] huitwa "mchanga" kama punje zake ziko kati ya [[milimita]] 0.063 hadi 2.
 
Punje hizihizo zatokanazinatokana na [[mmomonyoko]] wa mawe makubwa zaidi kama [[changarawe]] yaliyosukumwa na [[upepo]] au [[maji]] kwa mfano [[mto]]ni, [[bahari]]ni au kwenye mteremko wa [[mlima]].
 
[[Jina la]] mchanga halitaji [[mata]] yake lakini mara nyingi inamaanisha punje za [[silika (kemia)|silika]] (Si0<sub>2</sub>) ambayo ni [[oksidi]] ya [[silikoni]] inayopatikana kwa wingi katika [[ganda la Dunia]].
 
Mchanga hupatikana kwa wingi hasa kando ya bahari, [[jangwa]]ni au mtoni.
Mstari 12:
Mchanga ukichanganywa na [[saruji]] na maji huwa [[zege]] inayotumiwa kwa [[ujenzi]].
 
Mchanga wa silika inaweza kuyeyushwa kuanzia [[jotoridi]] ya [[sentigredi]] 1713 na hivyo ni msingi wa kutengeneza [[kioo]].
 
==Picha==
<gallery>
Image:Kalabrien Ricadi Sandwellen 2129.jpg|Mchanga mwambaoni
Image:SandRoad.jpg|Njia ya mchanga [[Namibia]]
Image:Sand from Gobi Desert.jpg|Mchanga jangwani
Image:Sand under electron microscope.jpg|Mchanga katika [[hadubini]]
Image:Rheinsand, Kieswerk Krieger, bei Rheinhausen.JPG|Mchanga|
</gallery>
 
==Viungo vya nje==
{{commons}}