Robert Mugabe : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
Mstari 1:
<blockquote></blockquote>[[File:Robert Mugabe, 12th AU Summit, 090202-N-0506A-417.jpg|thumb|right|150px|Robert Mugabe (2009)]]
'''Robert Gabriel Mugabe''' ([[21 Februari]] [[1924]] - [[6 Septemba]] [[2019]]) amekuwaalikuwa [[kiongozi]] mkuu wa [[Zimbabwe]] tangu [[1980]]. Yeye ni mwenyekiti wa chama tawala chahadi [[ZANU2017]]. 1980 alikuwaAlikuwa [[waziri mkuumwenyekiti]] na 1987wa [[Orodhachama ya Marais wa Zimbabwe|Rais wa Zimbabwetawala]]. Kabla ya wakati ule aliongoza upinzani wacha [[ZANU dhidi ya serikali ya walowezi Waingereza nchini waliofuata siasa ya ubaguzi wa rangi]].
 
Mwaka 1980 alikuwa [[waziri mkuu]] na mwaka [[1987]] [[Orodha ya Marais wa Zimbabwe|Rais wa Zimbabwe]]. Kabla ya wakati ule aliongoza upinzani wa ZANU dhidi ya [[serikali]] ya [[walowezi]] [[Waingereza]] nchini waliofuata [[siasa]] ya [[ubaguzi wa rangi]].
Mugabe alirudiwa katika uchaguzi mbalimbali. Tangu mwaka 2000 uchaguzi hizi zimekuwa mashakani kutokana na matishio na matumizi ya mabavu dhidi ya wapinzani. Utawala wa Mugabe umeitwa wa kidikteta tangu mwaka 2002. Kutokana na mashataka dhidi ya serikali ya Mugabe ya kudharau haki za binadamu nchi Zimbabwe ilisimamishwa ndani ya [[Jumuiya ya Madola]]. Mugabe pamoja na mawaziri wake na viongozi wa chama chake hawaruhusiwi kusafiri kwenda nchi za [[Umoja wa Ulaya]] na [[Marekani]].
 
Mugabe alirudiwaalirudia kushinda katika [[uchaguzi]] mbalimbalimara kadhaa. Tangu mwaka 2000 uchaguzichaguzi hizihizo zimekuwazilitiwa mashakanishaka kutokana na matishio na matumizi ya mabavu dhidi ya wapinzani. [[Utawala]] wa Mugabe umeitwa wa [[Udikteta|kidikteta]] tangu mwaka [[2002]]. Kutokana na mashatakamashtaka dhidi ya serikali ya Mugabe ya kudharau [[haki za binadamu]], nchi ya Zimbabwe ilisimamishwa ndani ya [[Jumuiya ya Madola]]. Mugabe pamoja na [[Waziri|mawaziri]] wake na viongozi wa chama chake hawaruhusiwihawakuruhusiwa kusafiri kwenda nchi za [[Umoja wa Ulaya]] na [[Marekani]].
Mwanzoni wa utawala wake Mugabe alisifiwa kujenga uchumi na sera ya elimu nchini. Zimbabwe ilikuwa nchi iliyouza vyakula vingi nje. Tangu mwanzo wa milenia mpya pamoja na mashtaki ya udikteta hali ya uchumi ulirudi nyuma. Takriban milioni mbili za raia wa Zimbabwe wameondoka nchini wakikaa kama wakimbizi [[Afrika Kusini]].
 
Mwanzoni wamwa utawala wake Mugabe alisifiwa kujenga [[uchumi]] na sera ya [[elimu]] nchini. Zimbabwe ilikuwa nchi iliyouza vyakula[[chakula]] vingikwa wingi nje. Tangu mwanzo wa [[milenia]] mpya pamoja na mashtakimashtaka ya udikteta hali ya uchumi ulirudiilirudi nyuma. Takriban [[raia]] [[milioni]] [[mbili za raia]] wa Zimbabwe wameondoka nchini wakikaawakakaa kama [[wakimbizi]] [[Afrika Kusini]].
 
== '''Tuhuma za mauaji na ukandamizaji''' ==
Baada tu ya kushika [[madaraka]], Mugabe aliamua kuimarisha [[jeshi]] lake la kumlinda (liitwalo Gukurahundi) ambalo lilijengwaliliundwa na [[watu]] kutoka [[kabila]] lake la wa-Shona[[Mashona]]. Nchi hiyo ilikuwa tayari imegawanyika kikabila hata katika uchaguzi wa kwanza wa 1980, washonaMashona wote walimchagua Mugabe na Wa-Ndebele[[Wandebele]] na [[wabunge]] kutoka chama cha ZANU. Wakati wandebeleWandebele walichagua viongozi kutoka chama cha [[ZAPU]] kilichoongozwa na [[Joshua Nkomo]].
 
Mara baada ya uchaguzi tu mwezi Novemba 1980 Mugabe alianza kampeni ya kuua kwa wingi watu wa kabila la wa-NdebeleWandebele ambao mjia[[mji]] wao mkubwa unaitwa [[Bulawayo]]. Ingawa [[Mauaji ya kimbari|mauaji]] hayo hayakufikia kiwango cha yale ya [[Rwanda]] na [[Burundi]], waliuawa [[wanawake]], [[wanaume]], [[watoto]] na hata vichanga vilivyokuwa matumboni. Mwaka [[1981]] pia Mugabe aliendelea kuua wandebeleWandebele, tukio ambalo halikutangazwa sana na [[vyombo vya habari]]. Kuanzia enzi hizo hadi leo raisirais Mugabe amejaribu kushinda kila uchaguzi unaokuja nchini huko kwa kutumia nguvu za kikabila na mabavu.
Baada tu ya kushika madaraka, Mugabe aliamua kuimarisha jeshi lake la kumlinda (liitwalo Gukurahundi) ambalo lilijengwa na watu kutoka kabila lake la wa-Shona. Nchi hiyo ilikuwa tayari imegawanyika kikabila hata katika uchaguzi wa kwanza wa 1980, washona wote walimchagua Mugabe na Wa-Ndebele na wabunge kutoka chama cha ZANU. Wakati wandebele walichagua viongozi kutoka chama cha ZAPU kilichoongozwa na Joshua Nkomo.
 
Mara baada ya uchaguzi tu mwezi Novemba 1980 Mugabe alianza kampeni ya kuua kwa wingi watu wa kabila la wa-Ndebele ambao mjia wao mkubwa unaitwa Bulawayo. Ingawa mauaji hayo hayakufikia kiwango cha yale ya Rwanda na Burundi, waliuawa wanawake, wanaume, watoto na hata vichanga vilivyokuwa matumboni. Mwaka 1981 pia Mugabe aliendelea kuua wandebele tukio ambalo halikutangazwa sana na vyombo vya habari. Kuanzia enzi hizo hadi leo raisi Mugabe amejaribu kushinda kila uchaguzi unaokuja nchini huko kwa kutumia nguvu za kikabila na mabavu.
 
Mugabe ametangazwa upya na chama cha ZANU kama mgombea wa urais katika uchaguzi wa 2008.
 
{{mbegu-mwanasiasa}}
 
[[Category:Waliozaliwa 1924|Mugabe, Robert Gabriel]]
[[Jamii:Waliofarika 2019|M]]
[[Category:Viongozi wa Afrika|Mugabe, Robert Gabriel]]
[[Category:Marais wa Zimbabwe|Mugabe, Robert Gabriel]]