Globu ya Dunia : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
Mstari 7:
== Historia ==
[[Picha:Globus mit Dreh-Schwenk-Halterung 6.JPG|250px|thumb|Globu ya Dunia ndogo ya mezani]]
Umbo la Dunia lilitambuliwa kuwa kama tufe tangu [[Hipparchus]] wakati wa karne ya 3 KK. Mfano wa kwanza wa globu ya Dunia inayojulikana ni ile ya mtaalamu wa [[Ugiriki wa Kale]], [[Crates wa Mallus]] pale in [[Cilicia]] (leo [[Uturuki]]), mnamo karne ya 2 KK.<ref>[http://www.1worldglobes.com/earthglobe.htm Earth Globe]</ref>
 
Kuna mifano kadhaa iliyotengenezwa na wanajiografia Waislamu wa kale, kwa mfano zamani za khalifa [[Al-Ma'mun]] katika karne ya 9 BK.<ref>{{cite book| last = Meri| first = Josef W.| title = Medieval Islamic Civilization: An Encyclopedia| url = https://books.google.com/?id=H-k9oc9xsuAC&pg=PA138| publisher = Psychology Press| isbn = 978-0-415-96690-0| pages = 138-139 }}</ref><ref>{{citation|first=Richard|last=Covington|journal=[[Saudi Aramco World]], May-June 2007|year=2007|pages=17–21|url=http://www.saudiaramcoworld.com/issue/200703/the.third.dimension.htm|accessdate=2008-07-06}}</ref>
 
Globu ya Dunia ya kale iliyohifadhiwa hadi sasa ni ile iliyotengenezwa na [[Martin Behaim]] wa [[Nürnberg]], [[Ujerumani]], mnamo 1492. [[Amerika]] ilionyehswa mara ya kwanza kwenye globu ya Dunia na [[Martin Waldseemueller]] mnamo 1507.
 
==Utengenezaji==