Uasi wa Mabondia : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
Ukurasa ulianzishwa kwa kuandika 'thumb|Utekaji wa [[Tianjin.]] '''Uasi wa Mabondia''' (kwa Kiingereza: '''Boxer Rebellion''') ulikuwa tukio kubwa la China mi...'
 
No edit summary
Mstari 6:
 
==Mabondia==
Walioitwa na [[Wazungu]] "Boxers", yaani "Mabondia", walikuwa [[raia]] wa [[China]] waliochukia hali hiyo na kwa sababu hiyo walitaka kupigania [[uhuru]] kamili kwa kufukuza wageni wote na hata baadhi ya Wachina wenzao. Waliungwa mkono na wananchi wengi wakapigana hadi [[Beijing]]. [[Jina]] lilitokana na [[sanaa ya mapigano]] iliyotumiwa na wazalendo.
 
==Siku 55 huko Peking==