Kopenhagen : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
d Removing Link FA template (handled by wikidata)
No edit summary
Mstari 17:
[[Picha:Kopenhagen Nguva mdogo.PNG|thumb|200px|left|Sanamu ya Nguva Mdogo kufuatana na hadithi ya mshairi Mdani Hans Christian Andersen]]
[[Picha:Copenhagen 12.57744E 55.66605N.jpg|thumb|200px|right|Kopenhagen, picha ya angani]]
[[Picha:A Copenhagen center street.jpg|thumb|200px|right|Katika mji wa kale ya Kopenhagen]]
'''Kopenhagen''' (kwa [[Kidenmark]]: ''København'' = "Bandari ya wafanya biashara") ni [[mji mkuu]] wa [[Denmark]] pia [[mji]] mkubwa wa nchi na [[kitovu]] cha [[utawala]], [[uchumi]] na [[utamaduni]].
 
== Jiografia ==
Kopenhagen iko [[Zealand]] (Sjælland) ambacho ni [[kisiwa]] kikubwa cha Denmark. Iko karibu na mji wa [[Malmo]] katika [[Uswidi]] ulio ng'ambo ya [[mlango wa bahari]] ya [[Oresund]] unaounganisha [[bahari ya Baltiki]] na [[Kattegat]] kuelekea [[Bahari ya Kaskazini]]. Sehemu ndogo ya mji iko kwenye kisiwa cha [[Amager]].
 
Eneo la Kopenhagen lina miji ya Kopenhagen penyeweyenyewe (wakazi 501,158), [[Frederiksberg]] (wakazi 91,855), [[Gentoftev]] (wakazi 68,623) na wakazi wengine 453,399 katika miji midogomidogo ndani ya wilaya ya Kopenhagen.
 
== Mahali pa Kopenhagen panapopendekezapanapopendekezwa ==
* [[Palais Amalienborg]]
* [[Dyrehavsbakken|Bakken]]
Line 34 ⟶ 33:
* [[Statens Museum for Kunst|Makumbusho ya Sanaa ya Denmark]]
* [[Dyrehaven|Bustani ya Wanyama]]
* [[Église Saint Alban de Copenhague|Kanisa la StMt. Alban]]
* [[Jumba la Frederiksborg]]
* [[Kronborg|Jumba la Kronborg]]
Line 55 ⟶ 54:
* [http://www.netkontor.dk/cph/ Picha zinazobadilihswa kila siku za Kopenhagen]
* [http://www.copenhagenpictures.dk/kastel.html Kastellet]
* [http://www.bestcitiestravel.com/copenhagen/ Maelezo kwa wasafiri]
{{Ulaya}}
}
 
{{mbegu-jio-Ulaya}}