Sifuri halisi : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
 
Mstari 6:
Ni sawa na [[vizio]] −273.15° kwenye [[skeli]] ya [[selsiasi]] au vizio 0° kwenye skeli ya [[kelvini]].
 
Kwenye kiwango cha sifuri halisi hakuna [[mwendo]] wa [[madamaada]] au [[molekuli]] tena. Sababu yake ni ya kwamba halijoto yenyewe kifizikia ni uso mwingine wa mwendo wa mada yaani mwendo wa molekuli na [[atomi]].
 
Katika hali ya kawaida molekuli za [[hewa]] au za [[kiowevu]] huwa na mwendo; pia molekuli za [[gimba]] [[mango]] huwa na mwendo fulani kama ki[[tikisiko]]. Kama mwendo = halijoto inaongezeka tunaona [[badiliko]] la [[gimba mango]] kuwa kiowevu au [[gesi]]. Kinyume chake tunaona jinsi gani [[maji]] "baridi" huwa [[barafu]] imara maana yake mwendo wa molekuli za H<sub>2</sub>0 imepungua. Pasipo mwendo tena hakuna [[joto]] wala halijoto na hali hii huitwa "sifuri halisi".