Neno : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
Mstari 1:
'''Neno''' ni sehemu fupi ya [[lugha]] yenye maana.Pia neno ni muungsniko wa silabi kuanzia moja au zaidi. Ni sauti inayotamkwa au kuandikwa pamoja na kutaja jambo fulani.
 
Neno linaweza kuwa fupi lenye [[mofimu]] (yaani sauti inayowakilisha maana fulani) moja tu au kuwa ndefu lenye mofimu mbalimbali. Kwa kawaida ni mkusanyiko wa [[silabi]] kadhaa, zikiwemo [[konsonanti]] na [[vokali]].