Oscar Wilde : Tofauti kati ya masahihisho
Content deleted Content added
Ukurasa ulianzishwa kwa kuandika ''''Oscar Fingal O'Flahertie Wills Wilde''' (Oktoba 16,1854 – Novemba 30,1900) alikua Mshairi wa Ireland na pia alikua ni [[mwandishi]...' |
No edit summary |
||
Mstari 1:
'''Oscar Fingal O'Flahertie Wills Wilde''' ([[Oktoba 16]], [[1854]] – [[Novemba 30]], [[1900]])
Baada ya kuandika sana katika [[miaka ya 1880]] alikuwa miongoni mwa waandishi maarufu sana [[Jiji|jijini]] [[London]] katika [[miaka ya 1890]].
Amekuwa akikumbukwa sana kutokana na kuandika maigizo mengi pamoja na kuwa na misemo mizuri. Pia anakumbukwa sana kutokana na kazi yake iliyojulikana kama ''The Picture of Dorian Gray''.
{{mbegu-mwandishi}}
{{BD|1854|1900}}
[[Jamii:Waandishi wa Ireland]]
|