Mark Ruffalo : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
Ukurasa ulianzishwa kwa kuandika 'thumb '''Mark Ruffalo''' (/ˈrʌfəloʊ/; Amezaliwa Novemba 22, 1967) ni muigizaji wa kimarekani...'
(Hakuna tofauti)

Pitio la 13:27, 8 Septemba 2019

Mark Ruffalo (/ˈrʌfəloʊ/; Amezaliwa Novemba 22, 1967) ni muigizaji wa kimarekani na pia ni mtayarishaji wa filamu. Alianza kuigiza manamo miaka ya 1990s na kupata umaarufu mkubwa kutoka kwenye maigizo mbalimbali kama vile This is our youth na You Can Count On Me. Aliendelea na maigizo na akajulikana zaidi pale alipokua mhusika katika filamu zilizotengenezwa na Marvel Studios kama Bruce Barner (Hulk) ambapo aliigiza filamu kama vile The Avengers (2012), Avengers: Age of Ultron (2015), Thor: Ragnarok (2017), Avengers: Infinity War (2018), na Avengers: Endgame (2019).

Maisha ya awali

Mark alizaliwa Kenosha, Wisconsin. Mama yake aitwaye Marie Rose alikua ni msusi wa nywele na Baba yake Frank Lawrence Ruffalo Jr, Alikua ni mpaka rangi katika majengo. Ana dada wawili ambao ni Tania Nicole, na pia alikua na kaka aliyeitwa Scott ambaye alifariki mwaka 2008.