'''Mark Ruffalo''' (/ˈrʌfəloʊ/; Amezaliwaamezaliwa [[Kenosha]], [[Wisconsin]], [[Novemba 22]], [[1967]]) ni [[muigizaji]] wa kimarekani na pia ni mtayarishaji wa [[filamu]] wa [[Marekani]].
Alianza kuigiza manamomnamo [[miaka ya 1990s1990]] na kupata umaarufu mkubwa kutoka kwenye [[maigizo]] mbalimbali kama vile ''This is our youth'' na ''You Can Count On Me''. Aliendelea na maigizo na akajulikana zaidi pale alipokua mhusika katika filamu zilizotengenezwa na Marvel Studios kama [[Bruce Barner]] ([[Hulk]]) ambapo aliigiza filamu kama vile The Avengers (2012), Avengers: Age of Ultron (2015), Thor: Ragnarok (2017), [[Avengers: infinity war (filamu)|Avengers: Infinity War]] ([[2018]]), na [[Avengers: Endgame]] (2019).
== Maisha ya awali ==
Mark alizaliwa Kenosha, [[Wisconsin]]. [[Mama]] yake aitwaye Marie Rose alikua nialikuwa msusi wa nywele na [[Babababa]] yake Frank Lawrence Ruffalo Jr, Alikua nialikuwa mpaka [[rangi]] katika majengo. Ana dada wawili ambao ni Tania na Nicole, na pia alikuaalikuwa na kaka aliyeitwa Scott ambaye alifariki mwaka [[2008]].