Atomu : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
Mstari 10:
Atomi ni ndogo kiasi ya kwamba hazionekani kwa [[macho]] wala kwa [[hadubini]] za kawaida. Kwa sababu hiyo wataalamu waliunda vielelezo mbalimbali vinavyojaribu kuunganisha tabia mbalimbali za atomi zinazopimiwa.
 
Kielelezo cha [[Ernest Rutherford]] kinasema kwamba katikati ya atomi kuna kiini chenye sehemu kubwa ya maada ya atomi yote. [[Kiini cha atomi]] hufanywa na protoni na neutroni. Atomi za elementi ileile zinaweza kutofautiana katika idadi ya neutron ndani ya kiini na hali hizi tofauti huitwa [[IsotopuIsotopi]] za elementi. IsotopuIsotopi tofauti ya elementi moja zinapangwa kwenye nafasi ileile ya [[jedwali la elementi]]. IsotopuIsotopi kadhaa si thabiti lakini [nururifu] yaani zinaweza kutoa vyembe au nururisho na kuhamia elementi nyingine.
 
Kiini huzungukwa na ganda ambalo ni si dutu imara lakini nafasi ya njia ambako electron huzunguka kiini. Nafasi hizi huitwa [[duara ya elektroni]]. Kielezo hiki kimekuwa msingi wa vielelezo vingine kama kile cha Bohr.