Kiini cha atomu : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
d Kipala moved page Kiini cha atomi to Kiini cha atomu over redirect: tahajia ya kawaida (TUKI)
No edit summary
Mstari 1:
[[Picha:atomi lithi.jpg|thumbnail|Muundo wa atomu kwa mfano wa lithi: Mzingo wa Elektroni na Kiini cha atomu katika kitovu chake. Kiini kinafanywa na nyutroni (bila chaji) na protoni (chaji chanya).]]
[[File:Nucleus drawing.svg|thumb|right|Modeli ya kiini cha atomi ikikionesha kama fungo gumu la aina mbili za [[nuklioni|chembekiini]] yaani protoni(nyekundu) na neutroni(samawati).Katika mchoro huu, protoni na neutroni zinaonekana kama vipira vidogo vilivyoshikamana pamoja.]]
'''Kiini cha atomu''' (pia '''nyukliasi ya atomu'''; kwa [[Kiingereza]]:''atomic nucleus'') ni sehemueneo yadogo la ndani ya [[atomu]] inayozungukwalililosongamana lenye kuundwa na [[protoni]] na [[neutroni]] lililo katikati ya atomi na linalozungukwa na [[mzingo elektroni]].
 
Eneo hili liligunduliwa mnamo mwaka 1911 na mwanasayansi [[Ernest Rutherford]] kwa kutegemea jaribio la folili ya dhahabu lililofanywa mwaka 1909 na mwanasayansi [[Geiger–Marsden]]. Baada ya ugunduzi wa neutroni katika mwaka 1932, modeli za kiini zilizokuwa zikijumuisha protoni na neutroni ziliundwa kwa haraka na [[Dmitri Ivanenko]] pamoja na [[Werner Heisenberg]].
 
Atomu ni chembe ndogondogo zinazounda na kutofautisha [[elementi]] mbalimbali kama vile [[oksijeni]], [[chuma]] au [[kaboni]]. Kila kitu, kama ni gimba [[mango]], [[gesi]] au [[kiowevu]], kinaundwa na chembechembe ndogo. Kama kina elementi moja tu, kuna atomu za aina moja tu ndani yake. Vitu vingi vinaundwa na muungano wa elementi tofauti kwa mfano [[maji]] kwa oksijeni na [[hidrojeni]]. Hapo atomu tofauti zinaunganishwa kuwa [[molekyuli]]. Hizi molekyuli ni muungano wa [[elementi]] za aina tofauti ("[[kampaundi]]": kutoka Kiingereza "compounds"). Chembe ndogo ya kila elementi huitwa [[atomu]]. Kila elementi ina atomu za aina yake kulingana na [[asili]] yake.
 
Ndani ya kila atomu kuna tena mna chembechembe ndogo zaidi za aina tofauti, ambazo zinatajwa kama [[nyutroni]], [[protoni]] na [[elektroni]]. Muundo wa atomu ni kiini cha atomu, ambamo sehemu kubwa ya [[masi]] yake inapatikana, kikizungukwa na elektroni kadhaa zinazotembea kwa njia zake nje ya kiini.
 
[[Atomi]] inaundwa na kiini kilicho na chaji chanya, pamoja na wingu la elektroni lenye chaji hasi linaloizunguka, vyote vikishikiliwa na nguvu ya [[umeme-tuli]].
 
[[Kiini]] kinaundwa na [[protoni]] na [[nyutroni]]<ref>isipokuwa atomu ya [[hidrojeni]], ambayo ni atomu ndogo kabisa, ina protoni 1 pekee katika kiini</ref> na hizi kwa pamoja huitwa "nyukleoni" <ref>kutoka [[Kilatini]] nucleus = kiini, yaani chembe za kiini</ref>.
 
Kiini chenyewe kina [[masi]] karibu yote ya atomu ndani yake (mnamo 99.9%, [[elektroni]] kwenye mzingo huwa na masi ndogo mno). Hivyo karibu uzito wote wa atomi unapatikana katika kiini, ukichangiwa na asilimia chache za wingu la elektroni. Protoni na neutroni zinafungamanishwa pamoja kuunda kiini kwa nguvu ya nyuklia.
 
[[Kipenyo]] cha kiini kipo kati ya [[femtomita]] 1.75 kwa [[hidrojeni]] (sawa na kipenyo cha nyutroni moja)<ref name=Nature>