Zambezi (mto) : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
Mstari 1:
{{Sanduku ya Mto | river_name = Mto wa Zambezi
| image_name = Victoria5.jpg
| caption = Mto wa Zambezi kwenye maporomoko ya Victoria
| origin = karibu na [[Mwinilunga]], Zambia
| mouth = [[Bahari ya Hindi]]
Mstari 11:
}}
 
'''Zambezi''' ni kati ya [[mito mirefu ya Afrika]] ikiwa na nafasi ya [[nne]] baada ya [[Nile]], [[Kongo (mto)|Kongo]] na [[Niger (mto)|Niger]]. Ni [[mto]] mrefu wa Afrika wa kuingia [[Bahari Hindi]]. Beseni lake lina km² 1,570,000 au [[nusu]] ya mto Nile. [[Chanzo (mto)|Chanzo]] chake iko [[Zambia]] inapita [[Angola]] mpakani na [[Namibia]], [[Botswana]], Zambia na [[Zimbabwe]] kwenda [[Msumbiji]] inapofikia Bahari Hindi katika [[delta]] ya 880 [[km²]].
 
Beseni lake lina [[km²]] 1,570,000 au [[nusu]] ya mto Nile. [[Chanzo (mto)|Chanzo]] chake kiko [[Zambia]], halafu mto unapita [[Angola]] mpakani na [[Namibia]], [[Botswana]], Zambia na [[Zimbabwe]] kwenda [[Msumbiji]] inapofikia Bahari Hindi katika [[delta]] ya [[km²]] 880.
Kwenye mwendo wa Zambezi pana maporomoko kadhaa hasa maporomoko ya [[Victoria Falls]]. Mengine ni maporomoko ya [[Chavuma]] mpakani wa Zambia na Angola halafu [[Ngonye Falls]] karibu na [[Sioma]], Zambia ya magharibi.
 
Kwenye mwendo wa Zambezi pana [[maporomoko]] kadhaa hasa maporomoko ya [[Victoria Falls]]. Mengine ni maporomoko ya [[Chavuma]] mpakani wamwa Zambia na Angola, halafu [[Ngonye Falls]] karibu na [[Sioma]], Zambia ya [[magharibi]].
Zambezi ina madaraja matano pekee kati ya chanzo na mdomo mahali pafuatapo: [[Chinyingi]], [[Katima Mulilo]], Victoria Falls, [[Chirundu]] na [[Tete]].
 
Zambezi ina [[Daraja|madaraja]] matano pekee kati ya chanzo na mdomo mahali pafuatapo: [[Chinyingi]], [[Katima Mulilo]], Victoria Falls, [[Chirundu]] na [[Tete]].
Zambezi ni chanzo cha umeme kwa ajili ya sehemu kubwa ya Afrika ya Kusini. Umeme unatengenezwa kwa nishati ya maji huko lambo la Kariba (Zambia) na lambo la [[Cabora-Bassa]] (Msumbiji).
 
Zambezi ni chanzo cha [[umeme]] kwa ajili ya sehemu kubwa ya [[Afrika ya Kusini]]. Umeme unatengenezwa kwa [[nishati]] ya [[maji]] huko [[lambo la Kariba]] (Zambia) na lambo la [[Cabora-Bassa]] (Msumbiji).
== Tawimito ==
 
Tawimito muhimu ni [[Cuando]], [[Kafue (mto)|Kafue]], [[Luangwa (mto)|Luangwa]], [[Shire (mto)|Shire]].
== Matawimto ==
TawimitoMatawimto muhimu ni [[Cuando]], [[Kafue (mto)|Kafue]], [[Luangwa (mto)|Luangwa]], [[Shire (mto)|Shire]].
 
== Miji muhimu mtoni ==
Line 36 ⟶ 38:
== Viungo vya nje ==
* [http://www.waterandnature.org/eatlas/html/af27.html Watersheds of Africa: A20 Zambezi]
[[Jamii:Mto Zambezi| ]]
 
[[Jamii:Mito ya Afrika]]
[[Jamii:Mito ya Zambia]]
Line 44 ⟶ 46:
[[Jamii:Mito ya Zimbabwe]]
[[Jamii:Mito ya Namibia]]
[[Jamii:Mto Zambezi| ]]