Mzingo elektroni : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
Ukurasa ulianzishwa kwa kuandika 'thumb| Modeli ya [[Ernest Rutherford|Rutherford na Bohr ya atomi ya haidrojeni ikionesha pia mizingo elektroni.]]'''Mi...'
(Hakuna tofauti)

Pitio la 14:26, 8 Septemba 2019

Mizingo elektroni ni maeneo ya atomi ambayo kikemia elektroni hukadiriwa kupatikana humo,maeneo haya huchukua maumbo ya duara yakikizunguka kiini cha atomi ndani ya elementi.

Modeli ya Rutherford na Bohr ya atomi ya haidrojeni ikionesha pia mizingo elektroni.