Atomu : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
atomi > atomu, umbo sanifu
Mstari 1:
[[Picha:Atom.png|thumb|Mfumo wa atomiatomu kwa mfano wa atomiatomu ya [[Heli]]: [[Elektroni]] mbili (njano) kwenye mzingo wa atomiatomu huzunguka [[kiini cha atomiatomu]] chenye [[Protoni]] mbili (nyekundu) na [[Neutroni]] mbili (kijani).]]
 
'''AtomiAtomu''' (kwa Kiswahili huitwa pia 'atomuatomi'; kutoka [[Kigiriki]] ''átomos'' yaani "isiyogawika") ni sehemu ndogo ya [[maada]] yenye tabia ya kikemia kama [[elementi]]. Kila kitu duniani hujengwa kwa atomiatomu.
 
Kuna aina nyingi za atomiatomu na idadi za aina hizi tofauti ni sawa na [[elementi]] zilizopo [[duniani]].
 
==Muundo wa atomiatomu==
Lakini atomiatomu yenyewe hufanywa na vyembe vidogo zaidi hasa sehemu 3 ambazo ni: [[protoni]], [[neutroni]] na [[elektroni]]. Sehemu hizi ndogo zaidi hazina tabia ya elementi fulani ila tu atomiatomu yote ni elementi. AtomiAtomu zinatofautiana kutokana na idadi tofauti ya vyembe hivi vidogo ndani yao.
 
AtomiAtomu ni ndogo kiasi ya kwamba hazionekani kwa [[macho]] wala kwa [[hadubini]] za kawaida. Kwa sababu hiyo wataalamu waliunda vielelezo mbalimbali vinavyojaribu kuunganisha tabia mbalimbali za atomiatomu zinazopimiwa.
 
Kielelezo cha [[Ernest Rutherford]] kinasema kwamba katikati ya atomiatomu kuna kiini chenye sehemu kubwa ya maada ya atomiatomu yote. [[Kiini cha atomiatomu]] hufanywa na protoni na neutroni. AtomiAtomu za elementi ileile zinaweza kutofautiana katika idadi ya neutron ndani ya kiini na hali hizi tofauti huitwa [[Isotopi]] za elementi. Isotopi tofauti ya elementi moja zinapangwa kwenye nafasi ileile ya [[jedwali la elementi]]. Isotopi kadhaa si thabiti lakini [nururifu] yaani zinaweza kutoa vyembe au nururisho na kuhamia elementi nyingine.
 
Kiini huzungukwa na ganda ambalo ni si dutu imara lakini nafasi ya njia ambako electron huzunguka kiini. Nafasi hizi huitwa [[duara ya elektroni]]. Kielezo hiki kimekuwa msingi wa vielelezo vingine kama kile cha Bohr.
 
Kiini huitwa kwa [[lugha]] ya [[Kilatini]] (pia kwa [[Kiingereza]]) "nucleus" na hapa lugha ya Kiswahili imepokea neno "nyuklia". "Nucleas" kwa ajili ya mambo yanayohusu matumizi ya nguvu ya atomiatomu, kwa mfano [[nishati ya nyuklia]].
 
==Chaji na ioni==
Protoni zina chaji ya chanya, neutroni hazina chaji na elektroni zina chaji ya hasi. Kiini inafanywa na protoni zenye chaji chanya pamoja na neutroni zisizo na chaji hivyo kiini cha kila atomiatomu kina chaji chanya. Elektroni zenye chaji hasi zinazunguka kiini.
 
Kwa jumla chaji hizo husawazishana na atomiatomu yote ni batili yaani haionyeshi chaji maalumu.
 
AtomiAtomu inaweza kuingia katika hali ya kuwa na chaji kama elektroni moja inaongezwa au kuondolewa katika ganda lake halafu atomiatomu hiyo huitwa "[[ioni]]".
 
Kama idadi ya elektroni imepungua chini ya kiwango cha kawaida atomiatomu yote ina chaji chanya na kuitwa "[[kationi]]". Kama elektroni imeongezwa chaji ya atomiatomu yote huwa hasi na kuitwa "[[anioni]]".
 
==Njia za elektroni==
Kufuatana na kielezo cha [[Niels Bohr]] kiini huzungukwa na [[mizingo elektroni]] mbalimbali kama kitunguu. Idadi ya mizingo hutegemeana na idadi ya elektroni au ukubwa wa atomiatomu kwa jumla.
 
Ukubwa wa atomiatomu yote hutegemeana na umbali wa mzingo elektroni wa nje. Ieleweke ya kwamba mizingo hii yote si dutu au mada lakini nafasi ambako elektroni zinazunguka kiini kwa mkasi mkubwa.
 
== Tovuti za nje ==
* [http://web.jjay.cuny.edu/~acarpi/NSC/3-atoms.htm General information on atomicatomuc structure]
* [http://www.watertown.k12.wi.us/HS/Staff/Buescher/atomtime.asp AtomicAtomuc structure timeline]
 
{{mbegu-kemia}}
Mstari 39:
[[Jamii:Kemia]]
[[Jamii:Fizikia]]
[[jamii:AtomiAtomu]]