Mkoa wa Dodoma : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
Mstari 10:
 
==Mawasiliano==
Mawasiliano ni mazuri kwa barabara ya lami kuanzia [[mji wa Dodoma]] kwenda [[Morogoro]] - [[Daressalaam]], barabara zingine ni za udongo to pamoja na njia kuu kuelekea Tanzania ya Magharibi - [[Rwanda]] - [[Kongo]]. Pia hali ya barabara ya kale ya "Cape - Cairo" inayovuka Dodoma kutoka kazkazini ([[Arusha]] - Kondoa ) kwenda kusini sini nzuri tenakwa kiwango cha lami. Kuna pia njia ya [[Reli ya Kati]] kutoka Daressalaam kwenda [[Kigoma]] yenye matatizo ya mara kwa mara. Dodoma mjini kuna uwanja wa kitaifa wa ndege.
 
==Hali ya hewa na kilimo==