Tofauti kati ya marekesbisho "Shairi"

16 bytes removed ,  miaka 2 iliyopita
d (Masahihisho aliyefanya 41.59.211.30 (Majadiliano) yalirejeshwa hadi sahihisho la mwisho na 197.250.101.228)
Tag: Rollback
Tags: Mobile edit Mobile app edit Android app edit
Vilevile huitwa ''mashairi funge'' - ni mashairi yanayozingatia kanuni za muwala/urari (ulinganifu) wa mizani, vina, idadi ya mistari katika kila [[ubeti]] na kituo katika shairi.
 
mashairi huru
===(ii) Mashairi ya kisasa===
Haya ni mashairi yasiyozingatia kanuni za kimapokeo, yaani, hayazingatii kanuni za muwala/urari (ulinganifu) wa mizani, vina, idadi ya mistari katika kila ubeti na kituo katika shairi.
Mashairi haya pia huitwa ''mashairi huru''/''mashairi ghuni''/''mashairi ya kisasa''/''masivina''/''mapingiti''.