Tofauti kati ya marekesbisho "Shairi"

4 bytes removed ,  miaka 3 iliyopita
Tags: Mobile edit Mobile app edit Android app edit
Kuna aina kuu mbili za mashairi, nazo ni kama zifuatavyo:
===(i) Mashairi ya kimapokeo===
Vilevile huitwa ''mashairi funge'' -Haya ni mashairi yanayozingatia kanuni za muwala/urari (ulinganifu) wa mizani, vina, idadi ya mistari katika kila [[ubeti]] na kituo katika shairi. Vilevile huitwa ''mashairi funge''.
 
mashairi===(ii) Mashairi huru===
Haya ni mashairi yasiyozingatia kanuni za kimapokeo, yaani, hayazingatii kanuni za muwala/urari (ulinganifu) wa mizani, vina, idadi ya mistari katika kila ubeti na kituo katika shairi. Mashairi haya huitwa pia ''mashairi ghuni''/''mashairi ya kisasa''/''masivina''/''mapingiti''.
Mashairi haya pia huitwa ''mashairi huru''/''mashairi ghuni''/''mashairi ya kisasa''/''masivina''/''mapingiti''.
 
==Mizani==