Zimbabwe African People's Union : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
Ukurasa ulianzishwa kwa kuandika '250px|thumb|Bendera ya ZAPU '''Zimbabwe African People's Union (ZAPU)''' ni chama cha kisiasa nchini Zimbab...'
 
No edit summary
Mstari 4:
Iliundwa mwaka 1961 na [[Joshua Nkomo]] katika [[Rhodesia Kusini]] (baadaye Zimbabwe) ikapigwa marufuku 1962 na serikali ilikuwa mkononi mwa walowezi Wazungu. ZAPU iliendelea kupinga serikali kwa njia ya [[vita ya msituni]] kupitia mkono wake wa Kijeshi "Zimbabwe People's Revolutionary Army" (ZIPRA).
 
Nkomo alimteua [[Robert Mugabe]] kuwa Katibu Mkuu akaendelea na nafasi hii hadi kukamatwa 1963. Mwaka ule Nkomo alihamisha makao makuu ya chama kwenda [[Tanzania]] akasimamisha viongozi kadhaa waliowahi kumpinga , pamoja na Mugabe na [[Ndabaningi Sithole]] aliyejitenga na ZAPU na kuanzisha [[ZANU]] (chama kilichoongozwa baadaye na Mugabe).
 
Wakati wa vita ya msituni ya Rhodesia jeshi la ZIPRA kuanzia 1966 ilikuwa na makambi yake [[Zambia]] na ZAPU ilipokea misaada kutoka Urusi wakati ZANU ilipokea misaada na mwongozo wa kiitikadi kutoka China.