Zimbabwe African People's Union : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
 
Mstari 1:
[[Picha:Zimbabwe African People's Union flag.svg|250px|thumb|[[Bendera]] ya ZAPU.]]
'''Zimbabwe African People's Union (ZAPU)''' ni [[chama cha kisiasa]] nchini [[Zimbabwe]].
 
Iliundwa [[mwaka]] [[1961]] na [[Joshua Nkomo]] katika [[Rhodesia Kusini]] (baadaye Zimbabwe) ikapigwa marufuku MWAKA [[1962]] na [[serikali]] ilikuwa mkononimikononi mwa [[walowezi]] [[Wazungu]]. ZAPU iliendelea kupinga serikali kwa njia ya [[vita ya msituni]] kupitia mkono wake wa Kijeshikijeshi "Zimbabwe People's Revolutionary Army" ([[ZIPRA]]).
 
Nkomo alimteua [[Robert Mugabe]] kuwa [[Katibu Mkuu]] akaendelea na nafasi hii hadi [[1963]]. Mwaka ule Nkomo alihamisha [[makao makuu]] ya chama kwenda [[Tanzania]] akasimamisha [[viongozi]] kadhaa waliowahi kumpinga , pamoja na Mugabe na [[Ndabaningi Sithole]] aliyejitenga na ZAPU na kuanzisha [[ZANU]] (chama kilichoongozwa baadaye na Mugabe).
 
Wakati wa vita ya msituni ya Rhodesia jeshi la ZIPRA kuanzia mwaka [[1966]] ilikuwa na makambi yake [[Zambia]] na ZAPU ilipokea misaada kutoka [[Urusi]] wakati ZANU ilipokea misaada na mwongozo wa kiitikadi kutoka [[China]].
 
ZAPU ilianzishwa kama chama cha kitaifa lakini katika kipindi cha [[vita]] [[Washona]] walikaa zaidi upande wa ZANU ilhali ZAPU ilibaki na wafuasi upande wa [[Wandebele]], [[kabila]] la Nkomo.
 
Mwaka [[1980]], baada ya [[mapatano ya Lancaster House]] na mwisho wa vita ya msituni kulikuwa na uchuguzi[[uchaguzi]] huru ya kwanza nchini. ZAPU iligombea kwa jina la Patriotic Front - ZAPU (PF-ZAPU) lakini ilipata [[kura]] za Wandebele tu ilhali Washona walio wengi walileta [[ushindi]] kwa ZANU.
 
Nkomo na ZAPU waliingia katika [[serikali ya umoja]] wa Zimbabwe wakajiona wanabagubuliwa na Mugabe na ZANU; mapigano yalitokea baina ya [[wanajeshi]] wa ZIPRA NAna ZANLA ([[jeshi]] la ZANU). Hatimaye Mugabe alimfukuza Nkomo serikalini akatuma Brigedi ya Tano, kikosi cha jeshi lake lililokuwa na Washona pekee, kutafuta wapinzani na [[brigedi]] hii iliteelezailitekeleza [[Mauaji ya kimbari|mauaji ya watu]] wanaokadriwawanaokadiriwa kuwa 20,000 kati ya Wandebele.
 
Nkomo alikumbia Zimbabwe 1963 akarudi 1987 akikubali maungano ya vyama vya ZANU na ZAPU kuwa ZANU-PF. Alikuwa makamu wa rais Mugabe. Alishtakiwa na wafuasi kadhaa kusaliti chama na watu wake akajieeza kuwa alitafuta amani hii kwa kusudi la kumaliza mauaji wa Wandebele na wanachama wa ZAPU.
 
Nkomo alikumbiaalikimbia Zimbabwe mwaka 1963 akarudi [[1987]] akikubali maungano ya vyama vya ZANU na ZAPU kuwa ZANU-PF. Alikuwa [[makamu wa rais]] Mugabe. Alishtakiwa na wafuasi kadhaa kusaliti chama na watu wake akajieezaakajieleza kuwa alitafuta [[amani]] hii kwa kusudi la kumaliza mauaji waya Wandebele na wanachama wa ZAPU.
{{mbegu-siasa}}
[[Jamii:Historia ya Zimbabwe]]