Robert Mugabe : Tofauti kati ya masahihisho
Content deleted Content added
→Tuhuma za mauaji na ukandamizaji: mpangilio, masahihisho madogo |
|||
Mstari 9:
==Tuhuma za mauaji na ukandamizaji==
Baada tu ya kushika [[madaraka]], Mugabe aliamua kukandamiza upinzani dhidi yake aliyoona kati ya wanachama wa ZAPU na wanajeshi wake wa ZIPRA waliowahi kurudi. Alishinda majaribio ya uasi wa askari wa ZIPRA 1980 kwa msaada wa vikosi vya Rhodesian Defence Force. 1981 Mugabe aliunda kikosi kipya cha "Brigedi ya Tano" kilichofanywa na wanamigambo wa [[ZANLA]] wa awali (jeshi la chama chake ZANU) na kufundishwa na washauri kutoka Korea Kaskazini. Brigedi hii ilitumwa katika maeneo ya Wandebele katika kusini ya Zimbabwe (mazingira ya [[Bulawayo]]) kutafuta askari wa ZIPRA mafichoni; katika mauaji ya [[Gukurahundi]] yaliyoendelea hadi 1984 ni Wazimbabwe 20,000 wanakadiriwa waliuawa.
Ingawa [[Mauaji ya kimbari|mauaji]] hayo hayakufikia kiwango cha yale ya [[Rwanda]] na [[Burundi]], waliuawa [[wanawake]], [[wanaume]], [[watoto]] na hata vichanga vilivyokuwa matumboni.
Kuanzia enzi hizo rais Mugabe amejaribu kushinda kila uchaguzi nchini huko kwa kutumia nguvu za kikabila na mabavu.
{{mbegu-mwanasiasa}}
|