Robert Mugabe : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
→‎Tuhuma za mauaji na ukandamizaji: mpangilio, masahihisho madogo
Mstari 11:
Nchi hiyo ilikuwa tayari imegawanyika kikabila hata katika uchaguzi wa kwanza wa 1980, Mashona wote walimchagua Mugabe na [[Wandebele]] na [[wabunge]] kutoka chama cha ZANU. Wakati Wandebele walichagua viongozi kutoka chama cha [[ZAPU]] kilichoongozwa na [[Joshua Nkomo]].
 
Baada tu ya kushika [[madaraka]], Mugabe aliamua kukandamiza upinzani dhidi yake aliyoona kati ya wanachama wa ZAPU na wanajeshi wake wa ZIPRA waliowahi kurudi. Alishinda majaribio ya uasi wa askari wa [[ZIPRA]] 1980 kwa msaada wa vikosi vya Rhodesian Defence Force. 1981 Mugabe aliunda kikosi kipya cha "Brigedi ya Tano" kilichofanywa na wanamigambo wa [[ZANLA]] wa awali (jeshi la chama chake ZANU) na kufundishwa na washauri kutoka Korea Kaskazini. Brigedi hii ilitumwa katika maeneo ya Wandebele katika kusini ya Zimbabwe (mazingira ya [[Bulawayo]]) kutafuta askari wa ZIPRA mafichoni; katika mauaji ya [[Gukurahundi]] yaliyoendelea hadi 1984 ni Wazimbabwe 20,000 wanakadiriwa waliuawa.
 
Ingawa [[Mauaji ya kimbari|mauaji]] hayo hayakufikia kiwango cha yale ya [[Rwanda]] na [[Burundi]], waliuawa [[wanawake]], [[wanaume]], [[watoto]] na hata vichanga vilivyokuwa matumboni.