Isidori wa Kio : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
Ukurasa ulianzishwa kwa kuandika ''''{{PAGENAME}}''' (alifariki 251) alikuwa Mkristo kutoka Aleksandria, Misri, aliyeuawa katika kisiwa cha Krio (leo nchini Ugiriki)...'
(Hakuna tofauti)

Pitio la 13:07, 11 Septemba 2019

Isidori wa Kio (alifariki 251) alikuwa Mkristo kutoka Aleksandria, Misri, aliyeuawa katika kisiwa cha Krio (leo nchini Ugiriki) wakati wa dhuluma ya kaisari Decius wa Dola la Roma.

Tangu kale anaheshimiwa kama mtakatifu mfiadini.

Sikukuu yake na ya wenzake huadhimishwa tarehe 14 Mei.

Tazama pia

Tanbihi

  Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.