Tofauti kati ya marekesbisho "Isidori wa Kio"

124 bytes added ,  mwaka 1 uliopita
no edit summary
(Ukurasa ulianzishwa kwa kuandika ''''{{PAGENAME}}''' (alifariki 251) alikuwa Mkristo kutoka Aleksandria, Misri, aliyeuawa katika kisiwa cha Krio (leo nchini Ugiriki)...')
 
 
[[image:Byzantine - Pilgrim Stamp of Saint Isidore - Walters 54230.jpg|thumb|Mt. Isidori (kazi ya [[karne ya 6]]).]]
'''{{PAGENAME}}''' (alifariki [[251]]) alikuwa [[Mkristo]] (labda kutoka [[Aleksandria]], [[Misri]],) aliyeuawa katika [[kisiwa]] cha [[Krio]] (leo nchini [[Ugiriki]]) wakati wa [[dhuluma]] ya [[kaisari]] [[Decius]] wa [[Dola la Roma]].
 
Tangu kale anaheshimiwa kama [[mtakatifu]] [[mfiadini]].