Selulitisi : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
spam link
Mstari 1:
'''Selulitisi''' (kutoka [[Kilatini]] na [[Kiingereza]]: "cellulitis") ni [[ugonjwa]] unaotokana na [[bakteria]] unaoathiri undani wa [[ngozi]].<ref>{{cite web |title=What is Cellulitis |url=https://www.ecellulitis.com/what-is-cellulitis/ |website=ecellulitis.com |accessdate=2019-06-28}}</ref>
 
[[Dalili]] zake ni pamoja na ngozi kubadilika [[rangi]] kuwa [[nyekundu]] na pia kuvimba. Sehemu iliyoathiriwa huwa na [[maumivu]]. <ref>{{cite book |author=Tintinalli, Judith E. |title=Emergency Medicine: A Comprehensive Study Guide (Emergency Medicine (Tintinalli)) |publisher=McGraw-Hill Companies |location=New York |year=2010 |pages=1016 |edition=7th |isbn=978-0-07-148480-0}}</ref>